Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:
1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba East African Time kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);
2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;
3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;
4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;
5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;
6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);
7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;
8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;
9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;
10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.
Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.
Asanteni wote na karibuni.
Update:
Link ya mjadala:https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012
Link ya members wengine kuchangia: https://www.jamiiforums.com/great-t...wete-2005-2012-side-comments.html#post4302632

Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)Swaafi sana, nigeomba saa saba isogezwe kidogo iwe saa 8, kwani kama InshaAllah hiyo itakuwa ni wakati wa swalaat dhuhr na sisi Waislaam tutakuwa katika mwezi wa kufunga na kuomba maghfira.
Unaweza anzisha mjadala wakati huo lakini tukiwa hai na majaaliwa sitoweza kuwepo on line kabla ya saa saba na nusu, nna uhakika saa 8 kamili itakuwa muafaka kwa wote.
Roulette this is acknowledgement receipt of conformation that i will participate the debate.