mimi sipo okee bana..hili swala la huu mdahalo limeniboa kila siku ...sasa tutajadili nini hapa eti! utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012..si alishaongoza ?sasa mnajadili ili iweje? mtafanya nini sasa? .hata sielewi ...mimi nataka mada za kimalavidavi tu nirelax mie ..kila siku jk mwenyewe anakula zake bata nje huko ...hivi yupo nchini?
Kuwepo kwake tayari ni mchango mkubwa. Pia kumbuka kuna suali tatu zitakazo toka kwa members, huenda lakwake likachaguliwa.
inapokuja ishu ya Kikwete, Zomba hua namuaminia sana!Huu mjadala utakuwa very interesting,nina uhakika Zomba atatoka nje ya mada na anaweza kumrudisha Matola kifungoni right away,let's wait and see.ila usipoharibika utakuwa mjadala mzuri,nasubiri sana kuona Zomba ataitetea vipi hii kitu.
Naona watu wameanza kuchanganya na mambo ya ajabu. Ndoa ya Dr Slaa na hii thread wapi na wapi?
Zomba ampelekee si ndio mpambe wake!Ingekuwa vyema kama nakala hiyo angepewa baada ya maoni kuchambuliwa na kuandaliwa kwa ufasaha...Lakini swali linakuja, ni nani amabaye atapeleka nakala ya hii debate kwa mheshimiwa presda?