passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,650
- 3,345
Tundu Antipas Lissu ni Tishio.
Sioni sababu ya Kwanini wazuie yeye kuhojiwa tena wakiendelea kumchafua mama samia kwamba maagizo yametoka juu.
Hili linadhairisha huyu jamaa anafatiliwa na watu wengi sana na ni mtu hatari kwa serikali ya CCM.
hatuwezi kumkaba Messi akiwa katika court ya basketball ila akiwa Lebron james atakabwa maradufu.
Hivyo hivyo tukimpa mpira wa miguu Lebron James hatutamkaba ila mpira atakapokuwa nao messi ni lazima watu wachanganyikiwe
Hili jambo la Leo limeivua nguo CCM na kuonyesha maridhiano ya unafki na kuogopwa kwa mtu mmoja kama simba.