sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,100
- 2,334
analondomana amezuiwa lisikufike la sivyo angeachwaKwani alikuwa na lipi jipya?
analondomana amezuiwa lisikufike la sivyo angeachwaKwani alikuwa na lipi jipya?
Kama hujui Hata huyu Mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma aliibuliwa na Star tv Wakati akiwa diwani wa CCM LAKINI alikuwa akipinga sana Ufisadi wa CCM enzi za akina Yahya Mohamed na Dotto BulenduNao wamebadilika juzi tu bwashee...lakini nao walikuwa wale wale tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂analondomana amezuiwa lisikufike la sivyo angeachwa
Hivi huyo Tundi Liddi angehojiwa hapo Wasafi Radio ndiyo ingekuwaje??
Huo woya wa kupitiliza kwa chama cha Chadema, ndiyo utakaokiangamiza chama hiko cha CCM!🙆
Kwani Diamond polisi?Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
Si wana YouTube channel waende huko wahojiane!!!Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI...mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
wazee wa malalamiko mnatia huruma mkubwa wenu anakataliwa kama vile ilikua Lazima yaani 🤣Kinyonge sana. Hapa nilipo ni kama nakuona vile. Mafuriko fake hayawapi nguvu tena ya wengine kusikilizwa? Tena uzuri hayo mazungumzo tayari cdm wana kashfa ya kula 2.7b walizopewa kwa hisani ya ccm, ndio ilikuwa sehemu ya cdm kuaibika kwa Lisu kushindwa kujibu. 😂😂
Diallo yule aliyekuwa anagombea uenyekiti wa CCM Mkoa aende kinyume na Magufuli kisha abaki salama?!Kama hujui Hata huyu Mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma aliibuliwa na Star tv Wakati akiwa diwani wa CCM LAKINI alikuwa akipinga sana Ufisadi wa CCM enzi za akina Yahya Mohamed na Dotto Bulendu
Hawa akina Katambi wote Siasa zao za Upinzani walizifanyia Star tv
Diallo ni chuma hata Shujaa Magufuli alimnyooshea Mikono
Siaje tu hapa.analondomana amezuiwa lisikufike la sivyo angeachwa
Ana kimbele mbele sana huyu kijana wa msimbazi mseto!, just a joke my class mate. 😁😁😁Kasema juzi mujahid twendeni kwa wananchi na marufuku hizo media zote zimekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani.Jana nilijiuliza hando alifukuzwa efm,huenda na wasafi akafukuzwa.KAMA MKURUGENZI WA VIPINDI ZINAKUTOSHA jiuzulu.
kwa uongeaji wa puppet haipo media house itakubali kupoteza viewers na followers wake kwa kumkaribisha mropokaji asie na staha kama huyo kibaraka.Bwahaaaa, bwahaaaaa, nimecheka kwa nguvu kinoma. Juzi Kinana kajiachia dhidi ya cdm, na muhalifu Makonda huko aliko Yuko kwenye ziara zinazofadhiliwa na serekali akifanya maigizo, leo mtu mmoja tu kutaka kuongea kwenye media, simu zimetoka Kila mahali kuzuia Lisu kuongea. Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani kwa shuruti, akitokea uliyempora ushindi wake atake kuongea na umma inakuwa hekaheka.
Nape kamlinda Kinana asivuliwe nguoHivi huyo Tundu Lissu angehojiwa hapo Wasafi Radio ndiyo maana yake usalama wa nchi ungekuwa hatarini??
Huo woga wa kupitiliza kwa chama cha Chadema, ndiyo utakaokiangamiza chama hiko cha CCM!🙆
Kwa akili zako nyingi unafikiri tcra watatoa license ya media ya chadema?Kwani alikuwa na lipi jipya?
Naunga mkono hoja ni ujinga tuuUjinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Unadhani Diamond ana mamlaka na Wasafi fm ?Kwani Diamond polisi?