- Feb 10, 2006
- 4,234
- 13,417
Pamoja na kusema 'sikuelewa' lakini nilijitahidi kujibu kwa nilivyoelewa. Ni kwa kuwa tayari suala la uboreshaji wa UI ya JF nilikwisha kuligusia hapo awali.
Kiwango cha chini kwa mwaka (siku 365) ni TZS 20,000/- kiasi ambacho naamini mtumiaji wa JF kama kweli anaona umuhimu wa JF kuendelea kuwa hewani hakimshindi.
Tukiwa 'serious' na kudhamiria kuiboresha JF na ikatuhudumia tunavyotaka basi walau wanachama 25,000 kati ya wanachama takribani 90,000 wakachangia 20,000 maana yake JF itapata walau TZS 500,000,000/- kwa mwaka; fedha ambayo ikipatikana ni wazi JF itaboresha mengi, itaanzisha gazeti na zaidi mengi ya mapendekezo yatafanyiwa kazi.
Inasikitisha, watanzania ni wepesi kusema lakini kutenda ni wagumu sana. Ukiiangalia TZS 20,000 ukaigawa kwa miezi 12 unaweza kuona ni kiasi gani mtu anakuwa katusaidia katika kuhakikisha tunamhudumia vema zaidi (TZS 1,667/- au US$1 kwa mwezi); sidhani kiasi hiki kinatushinda, ila ndio hali halisi, tunaongea na kutaka makubwa lakini hatupo tayari kuwa sehemu ya mabadiliko tunatoyataka.
Ingekuwa hivyo, wadau kama Nyani Ngabu, Rutashubanyuma n.k wangepewa huzo badges bure kwakuwa wana mabandiko mengi, lakini sidhani kama kiuhalisia yeyote anayetumia JF hawezi kupata $1 (ya ziada kuichangia JF) kwa mwezi.
Ndugu zangu, tunahitaji kuwezeshwa ili tuwahudumie vema. Nakosa hata lugha ya kutumia ili watu wanielewe, nawashukuru wote ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanatuchangia kwa hali na mali ili tuweze kutoa huduma hii. Kwa niaba ya wenzangu, tunashukuru sana.
Naam,Kuna swala zima la JF Premium membership, hili suala limezungumziwa kwa kina sana na Mike McKee katika nyuzi mahsusi ya maelezo yalioambatanishwa na maswali na majibu ya Members na wahusika wenyewe (ambao ni utawala). Kwa hapa tunaomba tu ugusie machache:-
Wanachama hawahawa ndio walipendekeza 'Premium Membership' iwe na kikomo ili JF ipate namna ya kujiendesha. Halikuwa pendekezo la mtu mmoja, ni wengi waliafiki hili hivyo nasi kutokana na kuona umuhimu wa kulifanikisha hili tukaanzisha utaratibu huu.A]. Siku zote hio JF Premium Membership ilikuwa member kutoa kiwango alichonacho tena akisha panda ngazi hio anabaki papo hapo bila kujali malipo upya. Ni kitu gani kimefanya hii ibadilike kwa viwango pangwa?
Kiwango cha chini kwa mwaka (siku 365) ni TZS 20,000/- kiasi ambacho naamini mtumiaji wa JF kama kweli anaona umuhimu wa JF kuendelea kuwa hewani hakimshindi.
Tukiwa 'serious' na kudhamiria kuiboresha JF na ikatuhudumia tunavyotaka basi walau wanachama 25,000 kati ya wanachama takribani 90,000 wakachangia 20,000 maana yake JF itapata walau TZS 500,000,000/- kwa mwaka; fedha ambayo ikipatikana ni wazi JF itaboresha mengi, itaanzisha gazeti na zaidi mengi ya mapendekezo yatafanyiwa kazi.
Ni mapema sana kupata kusema kama mafanikio yapo makubwa, lakini yapo. Ndio maana mnawaona wenye hizo badges za Premium Membership.B]. Hadi sasa toka mtambulishe viwango vipya kumekuwa na mafanikio ya kufikia malengo/matakwa yenu ya lengo lenyewe la kuanzisha huo utaratibu mpya?
Inasikitisha, watanzania ni wepesi kusema lakini kutenda ni wagumu sana. Ukiiangalia TZS 20,000 ukaigawa kwa miezi 12 unaweza kuona ni kiasi gani mtu anakuwa katusaidia katika kuhakikisha tunamhudumia vema zaidi (TZS 1,667/- au US$1 kwa mwezi); sidhani kiasi hiki kinatushinda, ila ndio hali halisi, tunaongea na kutaka makubwa lakini hatupo tayari kuwa sehemu ya mabadiliko tunatoyataka.
Ni wazo zuri, manake huyu hawezi kupata $1 kwa mwezi?C]. Kuna member mmoja ameuliza sana kama kuna mna mpango wa kuanzisha utaratibu wa JF Premium Membership tokana na wingi wa post za mshiriki; una nini la kusema kuhusu hili?
Ingekuwa hivyo, wadau kama Nyani Ngabu, Rutashubanyuma n.k wangepewa huzo badges bure kwakuwa wana mabandiko mengi, lakini sidhani kama kiuhalisia yeyote anayetumia JF hawezi kupata $1 (ya ziada kuichangia JF) kwa mwezi.
Ndugu zangu, tunahitaji kuwezeshwa ili tuwahudumie vema. Nakosa hata lugha ya kutumia ili watu wanielewe, nawashukuru wote ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanatuchangia kwa hali na mali ili tuweze kutoa huduma hii. Kwa niaba ya wenzangu, tunashukuru sana.
Premium Members hawana hisa, ni wanachama waliojitolea kuhakikisha wanaichangia JF ili iendelee kuwepo hewani. Mfano ni watu kama Pasco, Ritz, Edwin Mtei, ndetichia, Elli, Nyunyu, Kashaijabutege, Zogwale, Mwalimu, Kimbunga n.k na wengine ni wanafunzi. Wanapata/watapata nini baadae kama ziada, nisingependa kuliongelea kwa sasa (natumaini hutohoji kwanini, lol)D]. Na kwa faida ya wengi kuna member anaomba kujua wale wenye vibandiko vya JF Bronze, Gold ama Platinum (chini ya JF Premium Membership) huwa wana hisa JF?
Last edited: