Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Inasemekana wanaojiunga kuanzia leo bando za Postpaid tigo wamezipunguza....

Yalikuwa madai ya mtoa huduma Monday wakati najiunga.

Leo mapema tu wameshanitumbukizia 65GB zangu naendelea kula maisha.

Nilienda leo nikapewa ufafanuzi. Wameniambia kuwa vifurushi unapewa kutokana na mkataba ulioingia hivyo hakibadiliki hadi usitishe mkataba.

Waliojiunga kipindi cha nyuma wakapata GB 60 wataendelea kupata hizo hizo, nyinyi mliojiunga miezi michache nyuma mtaendelea kupata hizo hizo kama wewe unaepata GB 45, halafu kuna hawa wa sasa hivi wao watapata kama ifuatavyo akanionyesha kwenye computer nikachoka, 60,000/- GB 30
 
Karibu upate supakasi chap tu ndan ya wiki tayari kwann usumbuke boss

Kaka hii huduma ya supakasi naitaka hata kesho. Sema contract tu ndio changamoto.
Kuna muda natamani niiipate hii ya 115k kwanza then baada ya miezi kadhaa contract ihamie kwenye laini ya supakasi ile 50k.
 
Hii ya 115k inakua fixed so movable kma Ile ya line Kwa 50k so far Iko vzr Io ya 115k lkn soon mambo yanakuja ya moto koz Voda ashaanza funga 5G baadhi ya areas so atalaunch. FWA means for internet ambayo ni mbdala wa fiber Kwa inchi zlizoendelea
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
1183504548.jpg
1301527310.jpg
 
It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antennaView attachment 2375307View attachment 2375308
Sisi tuliofunga Supakasi LTE tunabadilishiwa au
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Tigo hawana unlimited ukitaka unlimited labda waje wakufungie ki dish flan hivi ila ni gharama sana na mara nyingi huwa naona vipo kwenye taasisi mfano hospitali wanalipa 900,000/= na unlimited kwel nikaona na zantel wanalipa 600,000/= ni unlimited kwel

Unlimited ipo vodacom kuna kitu wanaitwa super kasi zipo super kas za aina mbil

1. kuna super kas yakufungiwa kifaa maaluum then kuna router fresh kwenye kulipa hawatak janja janja usipo lipa unalimbikiza deni na watataka ulipe Gharama ni 115k unapata 2.5MB/s ambayo ni sawa na 20Mbps na 165k
ambayo ni 4MB/s sawa na 30Mbps

2. Aina ya Pili ya super kasi wanakuunganisha na lain yako moja kwa moja hii njia itakuhitaj kusajil lain mpya ya vodacom au kama una lain ya vodacom kuanzia mwaka huu itakubal ukibonya menu yao ya voda ile menu ya kawaida namba 6 ukakuta imeandikwa kasi wenye lain za vodacom za zaman hiyo menu hawana hapo walipo andika kasi ndo unatakiwa ujiunge naipenda hii huduma kwanza unatembea na sim mda wote lain yako unayo unahama kama unavotaka sasa kule ukijiunga kifurush mfano 50k unapata 28GB hzio GB zikiisha unapunguziwa speed had 300kb/s ila utatumia mwez mzima free kwa speed hiyo ndogo kina nisave sana hua najiunga 10k napata 3GB zikiisha bado nakua na internet ilayene kimited speed ya 200kb/s had 300kb/s hapo nachat vzr whatsapp insta naangalia na movie netflix vzr kabisa hapo chaguo ni lakoView attachment 2335889
View attachment 2335891
Mkuu hivi bado kipo kwa 10k gb 3 super kasi per month then wanaminya speed mpaka kutimia mwezi
 
65 si hata mdada anaeshinda TikTok na Instagram anazikata fasta tu
Kuna VPN tulikuwa tunatumia around 2017 hadi 2018.

Per month nilikuwa nagonga 300GB, Hapo kuna wahuni walikuwa wanafikisha terabyte.
 
Back
Top Bottom