sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,045
Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia
Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa.
Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio gb kama tulivyozoea, mfano kwa takribani laki na 20 wanakupa speed ya MB 1 kwa sekunde, utabanwa kwenye speed tu ambayo ni nzuri tu labda muwe watumiaji wengi ndio inapungua.
Sasa ikitokea umeacha kutumia huduma ni kwamba kwenye account yako bado itaendelea kuhesabika, mfano hujatumia huduma mwaka mzima basi utaldaiwa gharama za mwaka mzima, kwa voda kwa miezi hio 12 unaweza daiwa milioni na kitu na ni lazima ulipie lasivyo unaweza kufunguliwa kesi.
Hivyo ni busara uwafahamishe wahusika kwamba unaacha kutumia huduma zao kwa sababu maalum ikiwemo kipato kuyumba, umehamia shem haina network, huna tena vifaa vya ktumia internet, n.k