Internet bureeee

mh kweli watu ma IT how can this work nimeapreciate hizi mambo bt guys msisambaze sana bwana watafunga
 
Mjini hapa! Janja Pori na Tracy wa Njiro is the same person! Be ware!
 
kila mtu niPm NiPm basi namim niAm! kama umeamua kumwaga kuku kwenye mchele mwingi we mwaga tu mana hata hao utaowavujishia hyo TRICk nao watavujisha mpaka itanikuta mim na yule zen tukakupa siri hiyo hata wew kumbe ndio uliyeitoa!...
 
Nasoma komenti naona kama comedy vile na sio tangazo tena, pm pm pm pm hakuna am?
 
hebu nifafanulieni na mimi hiko ki-terminology cha pm kina maana gani?
 
Umetutia tamaa. Haya fasta na mie nimo kwenye huo msururu wa pm! Maana hutaki kuweka hayo maujanja hadharani.
 
Back
Top Bottom