Internet bunndles

Kimori

JF-Expert Member
May 26, 2008
213
25
Wadau wa Jf, samahani nimekuwa nikiona matangazo ya gharama za internet ila bado sijaelewa kipimo chake. Unaweza ukaona gharama ni sh 300/MB wengine 125/MB. Je nitajuaje kuwa website ninayotembelea itakula MB ngapi? Samahani mimi ni mweupe kwenye mambo ya IT ingawa natumia internet ila sijui hivyo vipimo. Please educate me on this. Thank you
 
Hauwezi ukajua itakula ngapi kabla ya kuitembelea website, lakini kwa kifupi maandishi (text) yanakula kidogo sana, picha zinakula zaidi, video na flash(Youtube etc) ndo zinaumiza vibaya sana.
So mimi kwenye browser yangu nimezima picha na flash/video ile kupunguza gharama. Pia nina program inayohesabu jinsi ninavyotumia Data, inaonyesha total ya mwezi/Wiki/Siku etc na inaonyesha graph.
NetMeterScreen.jpg

So unakuwa unajishtukia kidogo.
Program inaitwa NetMeter Link: ==- Readerror -==
 
Yaaa dowmload netper second software iwe inakuonyesha unakula MB ngapi....ila hata modems zina statistics hizo.....uwe unafuatilia....picha,video uki download utaona inavyokula...ila kweli kama maandishi aah mdebwedo
 
Jamani wanaJF wote tusaidiane kwa suala hili na namna tunavyotumia Internet kwenye PC zetu.
Kwa mfano mimi natumia USB Moderm ya Vodacom, na hiyo ina statistics zote kwa mfano kwa siku umetumia KB au MB ngapi inakuonyesha. Kwa hii ya Vodacom inaonyesha Daily, Monthly na Yearly na pia una uwezo wa kui-reset kulingana na matumizi yako.

Karibuni wengine tuchangie.
 
Wadau wa Jf, samahani nimekuwa nikiona matangazo ya gharama za internet ila bado sijaelewa kipimo chake. Unaweza ukaona gharama ni sh 300/MB wengine 125/MB. Je nitajuaje kuwa website ninayotembelea itakula MB ngapi? Samahani mimi ni mweupe kwenye mambo ya IT ingawa natumia internet ila sijui hivyo vipimo. Please educate me on this. Thank you

Mkuu,

Kuhusu "internet bundles" ni kwamba kunakuja package nzima ambalo linajumuisha internet, simu ya ndani na TV ambapo minimum speed ya internet itakuwa 8Mbps na maximum itakuwa kati ya 16Mbps na hadi 2Gb na zaidi.

Pia kuna kitu kinaitwa bandwith ambapo mtiririko wa information kuja kwenye PC yako uwapo online unapimwa speed yake kulingana na muda uliopewa katika line hio ya simu. Kama dowloading ni unlimited basi utaifaidi kujaza mambo lakini kama una limited access kutokana na Mbps speed basi utakuwa na muda mfupi ku-download.

Sasa ukiondoa hayo mambo ya bundles unaweza kuwa na broadband pake yake ambayo kwa mfano unaweza kutumia wireless router au cable ambayo inaweza kuwa na unlimited downloading katika muda wowote.

Ila ukumbuke kwamba uwingi wa watu wenye mahitaji ya kudownload unasababisha sana kupunguza speed ya delivery ya information unayohitaji.

Kuhusu swali lako kwamba utajuaje kwamba website unayotembelea inakulaje Mb, naona wewe hupaswi kujua hilo kwani ni jukumu la wenye hio website kujua jambo hilo, sanasana wao watataka kujua habits zako wewe unaetembelea hio website na ni kitu gani unakuwa na interest nacho sana.

Nafikiri ntakuwa nimekupa angalau mwanga kidogo.
 
Mkuu naona haupo Tanzania!! Huku matatizo yetu tofauti kabisa, utakuwa unamchangaya mwanzisha mada!
Bundle = Megabyte unazoruhusiwa kuzitumia kwa kipindi fulani e.g 2Gb kwa mwezi.
 
Ni kweli mkuu ntakuwa nnamchanganya.

Kwahio kama anazungumzia hizo bundles za internet kwa TZ itakuwa kama anavyosema kwamba ni MB ambazo haelewi anakuwa analipa kwa matumizi gani ya kila mwezi.
 
ila hata tz especially town centre kuna watu kama bol hawa jamaa wanatoa unlimited internet acces so jaribu hawa jamaa wapo poa sana
 
Kuna mtu yeyote anayejua rates mpya za ttcl wakishaanza kutumia fibre optic cable?
 
Wadau nashukuru atleast nimepata ka mwanga kidogo. Kang nathamini sana mchango wako. Umenifungua kiaina. Mimi natumia simu ya mkononi ku connect kwenye net through USb cable ila inakula sana sijui ni huu mtandao wa voda uko expensive au ni vipi.
 
Mkuu naona haupo Tanzania!! Huku matatizo yetu tofauti kabisa, utakuwa unamchangaya mwanzisha mada!
Bundle = Megabyte unazoruhusiwa kuzitumia kwa kipindi fulani e.g 2Gb kwa mwezi.

Ehh. Hapo umenena ..Nakubaliana nawewe mkuu . Matatizo yetu ni tofauti kabisa.

On that note, haya makampuni yana changia kutuchanganya sisi kama watumiaji. How can they advertise unlimited download or unlimited internet but they only give us 2GB or 3GB. That is not unlimited !

I think there is some SERIOUS misleading advertising practiced. Someone ought to look into this.

BUYER BEWARE
 
Ya hili nimeliona na mimi Zantel UNLIMITED kumbe ni 3Gb.
Sasatel nao wanadai Free 3GB, sasa sijui free kivipi wakati unalipa kwa mwezi.
Kuna kampuni moja ya simu nayo ina matangazo ya kizushi nadhani ni Zain linasema Free SMS halafu kwa chini 1000/= per day au kitu kama hicho.
Naona hakuna sheria za false advertising bongo, au zipo lakini kama kawaida hakuna wa kuzilinda.
 
Wadau nashukuru atleast nimepata ka mwanga kidogo. Kang nathamini sana mchango wako. Umenifungua kiaina. Mimi natumia simu ya mkononi ku connect kwenye net through USb cable ila inakula sana sijui ni huu mtandao wa voda uko expensive au ni vipi.
Vodacom wanacharge tsh 250/= 1 mb.Naskushauri utumie zantel gharama zao ni nafuu kidogo wao ni tsh 120 /= 1 mb.
 
Kwa hapo itategemea umenunua Internet Bundle ya kiasi gani. Kwa Vodacom iko hivi:-
  1. 10MB kwa sh. 2000
  2. 20MB kwa sh. 3700
  3. 100MB kwa sh. 15000
  4. 250MB kwa sh. 25000
  5. 500MB kwa sh. 40000
Kwa hiyo kadri unavyochukua nyingi ndivyo na gharama yake inavyopungua. Na zote hizo ni kwa siku 90
 
Back
Top Bottom