Internazionale vs Chelsea (Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)

Ferocious free-kick from Didier Drogba which comes down off the underside of the crossbar!
 
Hii match ni kati ya Kocha na Kocha na kati ya Eto' na Drogba & kipa na kipa... Yangu mie macho...

Ninatumaini hakutakuwa na matengenezo ya dharura ya JF ... mimi sina runinga, na connection ya mtandao ni mzozo. Ninasubiri updates toka kwako!
 
Hii speed ya mpira Chelsick hawaiwezi kwa dakika 90 na itawachosha sana mechi ya weekend na Man City.
 
Eto kakosa bao la wazi ... ....Nakwambia hii speed ni kali sana kwa sababu Chelsick wanataka kurudisha bao.
 
come on inter,2 more goals

Acha kuwaombea wenzako mabaya ... hata kama Chelsea watafungwa watakuwa wameonyesha kwamba wametawala game kwa kipindi chote cha kwanza. Bado nina amini kwamba Chelsea watatoka sare ama kushinda. Kila la heri wana wa Darajani!
 
Penalty mbili hizo moja diving upande wa Chelsick na Inter dakika za majeruhi naona hakuna kubebwabebwa leo clean goals count.
 
Back
Top Bottom