Internazionale vs Chelsea (Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)

Zikiwa zimebakia dk 45.

JOSE MOURINHO
About Chelsea
"John [Terry] and Frank [Lampard] perform week after week, year after year. They look as if they are never tired of playing well. Did I give them a little contribution? They say yes and I think so. I thank them."


About Ashley Cole

"I called him a couple of days ago because I care about him. I watched Ashley play until the moment he had his injury and he played superbly. If he has problems then for sure they are not on the pitch."

About Carlo Ancelotti

"If he says that [all Italy is behind Ancelotti and Chelsea] it's because he knows, because somebody told him or because he belongs to the clan."

About The England job

"I decided at the last minute not to be [England manager]. For a foreign coach to have the possibility to lead England I was the proudest man in the world. I thought and thought. On one side I wanted it, on another side I knew it was not the job for me."
 
_47361320_mourinho466.jpg

vs


_47361321_ancelotti466.jpg




Kuna moja hapa atatoka na kilio, Wacha timu inayocheza kabumbu safi ishinde naona mashabiki wa chelsick leo wako kolokoloni kuchungulia tu ... .... teh teh teh
 
Probable teams
Inter Milan (4-1-2-1-2): Julio Cesar; Maicon, Lucio, Samuel, Zanetti; Stankovic; Muntari, Sneijder; Milito, Pandev.

Chelsea (4-1-2-3): Cech; Ivanovic, Terry, Carvalho, Kalou; Mikel; Ballack, Lampard; Anelka, Drogba, Malouda.

Referee: Manuel Mejuto Gonzalez (Spain).
 
Invisible, Masanilo aka kikojozo, kigogo, Elnino, Peasant ametoroka shamba huyu!, Taliban supporter, Sanda Matuta mwanzilishi wa Chelsick thread. Mzozo wa Mizozo, Abraham, Rev Kishoka kwa nadra tu mkishinda njoo leo, Mvina, Ndege ya Uchumi, Che Kalizozele, Butola, Pape, Ogah kidogo nikusahau uko wapi mkuu, Sinyolita, Pipiro, Kituko nk. nk


Wengi wao wamejilipua baada ya mambo kuwa makali hapa jukwaani leo njooni mnakutana na the special aliyekuwa darajani wakati flani. Ingieni mkate mzizi wa fitna khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Probable teams
Inter Milan (4-1-2-1-2): Julio Cesar; Maicon, Lucio, Samuel, Zanetti; Stankovic; Muntari, Sneijder; Milito, Pandev.

Chelsea (4-1-2-3): Cech; Ivanovic, Terry, Carvalho, Belletti; Mikel; Ballack, Lampard; Anelka, Drogba, Malouda.

Referee: Manuel Mejuto Gonzalez (Spain).

Inter Milan v Chelsea line-ups and subs:
Inter Milan: Julio Cesar, Maicon, Samuel, Lucio, Zanetti, Stankovic, Cambiasso, Motta, Sneijder, Eto'o, Milito.
Subs: Toldo, Cordoba, Quaresma, Muntari, Mariga, Pandev, Balotelli.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Carvalho, Terry, Malouda, Ballack, Mikel, Lampard, Anelka, Drogba, Kalou.
Subs: Hilario, Joe Cole, Sturridge, Alex, Belletti, Bruma, Borini.
Referee: Manuel Enrique Mejuto Gonzalez (Spain)
 
Umeona Morinho hakushangilia alikuwa kama vile amepigwa butwaa.
 
Umeona freekick hiyo ya Drog the bar? Kosa kosa ... .wood work ..
 
Kila la Heri kwa timu zote, japo naona wenyeji wameanza na mguu mzuri ... lakini mpira ni dakika 90, lolote laweza kutokea.

Invisible hata kama uko "invisible" kama matokeo yatakuwa mabaya kwa upande wako, endelea kuonekana japo macho, maana niliona the other day Manure walipocheza na AC Milan ulipiga sana kelele kwamba mashabiki wa Manure waliingia gizani wakisubiri kipenga cha mwisho.

Maumivu ya kichwa huanza poole pooolee ... kuna panadol nyingi sana kama kuna shabiki wa Chelsea basi anaweza kuniona pembeni ili nimsaidie. Pia nina dawa za ku-control BP.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom