Internazionale vs Chelsea (Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)

Acha kuwaombea wenzako mabaya ... hata kama Chelsea watafungwa watakuwa wameonyesha kwamba wametawala game kwa kipindi chote cha kwanza. Bado nina amini kwamba Chelsea watatoka sare ama kushinda. Kila la heri wana wa Darajani!

Roho mbaya tu... Na haiwi hivyo sasa hahahaha

Lazima mfungwe bana pumnzi yote mmemalisa sasa kipindi cha pili mtakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya. Si unamsikia Desaily anasema ulimi wa Chelsick nje nje khe khe kheeeeeeeeeeeee.

_47368159_milito_get.jpg


Kabla Chelsick hawajakaa sawa Diego Milito anaweka chuma wavuni
 
Penalty mbili hizo moja diving upande wa Chelsick na Inter dakika za majeruhi naona hakuna kubebwabebwa leo clean goals count.
Hawa walishazoea marefarii wa Uingereza ambao badala ya kuchezesha mechi wanaleta ushabiki. ha ha ha ha ha
 
Hawa walishazoea marefarii wa Uingereza ambao badala ya kuchezesha mechi wanaleta ushabiki. ha ha ha ha ha

Wote mafia hawa wanatoa fweza sasa Morinho aliwawahi kwa hiyo leo hakuna penalties si anajua tabia yao khe khe khe
 
Naona shetwani anataka kumchukua mja wake kwa mara nyingine tenaaaaaa....Lol!
 
Hapana MKUUUUUU, ni vile nilikuwaaa...nnaaa......
......nnaaaaaaaaaaa, TAK KUKUPA poleee....afu nna swali la kizushi?, kwanini wewe hapo 'taa' yko ni nyekundu mda wote hata kama upo online?, na mimi naomba niwe 'kama ww'..Lol!

BTW; Hata apo chini kwenye watu wanaocheki hii thread sikuoni, au ndo mambo ya Invinsibility?
 
Back
Top Bottom