TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,963
- 11,354
interesting truth!!! hata baadhi ya majibu tusingetoa kama tungekua tunajulikana...Pharmacist;
Hapana, hii mada watu mnakuwa wanasiasa, ndiyo maana tutaendelea kusoteshwa sana na wanasiasa sababu sisi kawaida yetu siyo wakweli. Tuna tendency ya ku-pretend, na hii ndiyo imeshakuwa tabia yetu. Huwa hatuwezi kuongea ukweli moja kwa moja!
Tabia halisi ya mwanadamu ni kwamba akishajua hakuna mtu anayemuona/ anayemfahamu, ndiyo pale anapofanya kile ktu ambacho kinapotray asili ya tabia yake. Tungekuwa na uwezo wa kuwa tunajibadilisha kuwa hata nzi, ndiyo hapo tungeweza kujua tabia halisi ya mwanadamu/ wapenzi zetu ikoje, vinginevyo huwezi kujua kwa kuwauliza au kuwaletea topic wajadili!
Lakini kuna baadhi ya watu wanafanya na wanaonekana na bado imani iko palepale... hao je tutawaweka kundi gani???
Ukweli ni kwamba tunaishi kuendeleza tuliyoyakuta, na infidelity kwa mwanaume iko hivyo... tatizo kubwa ni kwamba kwa sasa wanawake wameamua kweli-kweli kufanya tunayoyafanya, tena hasa working class (type ya da sophy), na wanatuchapa balaa
siku hizi unakutana na binti yeye ndio anasema "yule kama natamani kweli nim***... very interesting
so, wakati tunasema ingekua vipi mwanamke akibalisha kibaso, si ajabu we can just say... how do you feel now that women have turned the tables?