Bibi Kizee
JF-Expert Member
- Feb 18, 2008
- 211
- 9
usemi wa kunya aje kuku akinya bata kaharisha ndio unaotusumbua hapa!! kwakweli mwanamke amekandamizwa na kudharauliwa miaka mingi sana, suala la amwaname kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ukiachilia mbali kwa misingi ya dini au kimila kwa wale ambao wanaruhusiwa polygamy.
suala la kuwa na wanawake wa nje lilikuwa ni kawaiada na mwanamke nafasi yake ni kusamehe na kukubali matatizo yoe ya tokanayo na mume kuwa na Kibint kama vile kukosa unyumba, matumizi nyumbani nk, hakuna aliyekuwa akipiga kelele mpaka ikafikia kuwa sio tu kuwa na vibint bali nyumba ndogo ambayo inakuwa na sauti kushinda hata nyumba kubwa!! sasa akina mama nao wameamka maana kama sabau ilikuwa ni kwamba UNAKOSA NINI PESA YA MATUMIZI HUPATI pindi atakapohoji, sasa wananawake nao wamejitahidi kielimu, ajira na uchumi kwahiyo jibu hilo alihold nao wanaweka nyumba ndogo, wakulaumiwa ni walioanzisha hayo, wajirekebishe ili masiha yaende yatakiwavyo!!