Ingekuwa vipi kama mkeo naye akakugeuzia kibao

Pharmacist;
Hapana, hii mada watu mnakuwa wanasiasa, ndiyo maana tutaendelea kusoteshwa sana na wanasiasa sababu sisi kawaida yetu siyo wakweli. Tuna tendency ya ku-pretend, na hii ndiyo imeshakuwa tabia yetu. Huwa hatuwezi kuongea ukweli moja kwa moja!
Tabia halisi ya mwanadamu ni kwamba akishajua hakuna mtu anayemuona/ anayemfahamu, ndiyo pale anapofanya kile ktu ambacho kinapotray asili ya tabia yake. Tungekuwa na uwezo wa kuwa tunajibadilisha kuwa hata nzi, ndiyo hapo tungeweza kujua tabia halisi ya mwanadamu/ wapenzi zetu ikoje, vinginevyo huwezi kujua kwa kuwauliza au kuwaletea topic wajadili!
interesting truth!!! hata baadhi ya majibu tusingetoa kama tungekua tunajulikana...

Lakini kuna baadhi ya watu wanafanya na wanaonekana na bado imani iko palepale... hao je tutawaweka kundi gani???

Ukweli ni kwamba tunaishi kuendeleza tuliyoyakuta, na infidelity kwa mwanaume iko hivyo... tatizo kubwa ni kwamba kwa sasa wanawake wameamua kweli-kweli kufanya tunayoyafanya, tena hasa working class (type ya da sophy), na wanatuchapa balaa

siku hizi unakutana na binti yeye ndio anasema "yule kama natamani kweli nim***... very interesting

so, wakati tunasema ingekua vipi mwanamke akibalisha kibaso, si ajabu we can just say... how do you feel now that women have turned the tables?
 
Invisible,
Please do the needful..badilisha title isomeke kama alivyopendekeza Acid hapo kwenye red.
 
Je, Mwanaume anayetoka nje ya ndoa na mke wa mtu au mpenzi wa mtu mwingine anajisikia vipi pale mkewe akichukuliwa na mwanaume mwingine?

Wanaumeeeee! Hamuoni nyie ndio wa kwanza kuumizana wenyewe kwa wenyewe?..Mnalalamika nini wakati watendwa ndio watendaji? Sasa mnamlalamikia nani?
 
Kumekuwepo na majadiliano ya kutosha sana humu jamvini kuhusu matatizo ya wanawake na waume au wapenzi wao - Kutelekezwa, kuletewa nyumba ndogo,kuachiwa mzigo wa kulea familia, kutumiwa n.k.Pia tumejadili kuhusu kwanini wanaume hawapendi ushirika kwenye mapenzi.

Tunajua kabisa kuwa tamaduni, mila, desturi, dini vyote vinaamrisha wanandoa kuheshimu ndoa zao.Pamoja na hayo ukweli unabakia kuwa wanandoa hutetereka katika kuheshimu viapo vyao.Msisitizo zaidi uko katika kuwataka wanawake wajiheshimu na inashangaza kuwa msisitizo hauko zaidi katika kuwabana wanaume.Kutokana na hili, wanaume nao wamekuwa wakilega zaidi katika kuheshimu ndoa au mahusiano yao.

Matokeo yake ni kuwa watu wamekuwa wakifumbia macho suala zima la kutoka nje ya ndoa.Hakuna mwanamke anakubali kuwa wanawake nao wanatetereka , na hata wanaume nao wanajidanganya kuwa wapenzi wao au hata wake zao hawatoki nje ya ndoa.Ila hapohapo tunasikia ati vipimo vya DNA vimethibisha kuwa idadi kubwa ya watoto waliozaliwa na wazazi waliokuwa na mabishano kuhusu nani baba wa mtoto - wameonekana siyo wa akina baba hao walengwa.

Je, Mwanaume anayetoka nje ya ndoa na mke wa mtu au mpenzi wa mtu mwingine anajisikia vipi pale mkewe akichukuliwa na mwanaume mwingine?

WoS, umewahi kusikia termilogy ya "Swingers"?
 
Invisible,
Please do the needful..badilisha title isomeke kama alivyopendekeza Acid hapo kwenye red.
yees indeed, this is exactly what is happening nowadays

wanawake wanainfidelitize kama wanaume tu aisee

sijui ndio mwisho umefika au ni new world order?
 
Back
Top Bottom