INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari wadau.

Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india.

Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT

Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india.

Je na wapo waliosoma IIT

Kama wapo je wana mchango gani kwenye uchumi.

Maana ceo wa google ni output ya IIT

Ceo wa pepsi ni output ya IIT.

Na wengineo wengi.

Inasemekana india ukiwa na degree ya IIT mke analipishwa mahari kubwa kuolewa na huyo mwanaume maana kwa mila za kihindi upande wa mke ndio unalipa mahari

Degree ya IIT ina value kubwa kuliko degree ya vyuo vingi (ukiacha Ivy league ) vilivyo ulaya na marekani
 
Kuna jamaa frani amejiunga mwaka huu kwaajiri ya masomo katika chuo hiko
 
Back
Top Bottom