Duh...! Kwa mwenye kujali usalama wake haiwezekani....! Kwani hakuna position mbadala?inawezekana malaria haikubaliki
Invisible mpatie Pearl image mara moja afurahie jumatatu yake pale
jamani Invisible,mbn mi sioni kha!
mmmh nguli hiyo kali ingawa inawezekana ila jamaa inabidi awe na stamina ya hali ya juu@ Finest ha ha ha Kuna watu wana roho ngumu
Kweli miguu yake inaweza kuzama ardhini,