Je, inawezekana kutajirika kupitia kubeti kwenye michezo?

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.

Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot ya mamilioni kama wanavyotangaza?
 
Kushinda jackport inabidi uwe mjuzi wa mpira + bahati. Tangu nianzekucheza jackport sijawahi kushinda, huwa naishia 9/13 au 8/13, 10/17... kiukweli sio rahisi kupatia michezo mingi. Japo naendelea kujaribu kila jumanne na ijumaa. Nafanya kwa kujifurahisha sio kwa kuweka matumaini makubwa.
 
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.

Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot ya mamilioni kama wanavyotangaza?
Elfu 1000 mbona nyingi beti na shillingi 100. It's possible but really hard work bet for fun and u might succeed. Betting with an intension of looking for income and you will lose to much time and money
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.

Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot ya mamilioni kama wanavyotangaza?
 
wadau juzi nimeweka 600 yangu jackpot betpawa imezaa 2012500/250000 hapa sina hata chench nasubiri jumamosi ila ukicheza mikeka kawaida unapigwa sana.

jackpot nimewah kupata mara 2 hivyo nataka wiki ijayo nipate milioni wajichanganye sasa.
 
Unaweza kabisaa ila pesa yake hautafanyia kitu. Utashangaa tu ishaisha. Jamaa mtaani kwetu alipiga 20m akaenda kununua Subaru akapinduka nayo.
 
Kina baba levo hao alishinda kamari millioni 60 na siku iyo iyo hela ikaliwa 😂
 
Back
Top Bottom