Wana JF mi huwa najiuliza CCM ina mali nyingi ambazo wazazi wetu na sote tulizichangia km vile viwanjavya mipira (Jamhuri, kirumba nk) ofc nyingi tu. Je kuna uwezekano zikarudi serikalini maana ni mali zetu sote?
Nisaidieni p'se.
http://mashughuli.blogspot.com/
Mwone bossi wenu anavyoparty! hapo juu ktk hiyo link!!
Hiki kitu hata mimi huwa kina niumiza kichwa sana kuna majengo yalijengwa na wazazi wetu leo tuna ambiwa ni mali ya ccm mifano ni hapo juu...iko siku tutarudisha mali za wananchi na siyo kumilikiwa na mafisadi kijanja janja tuWana JF mi huwa najiuliza CCM ina mali nyingi ambazo wazazi wetu na sote tulizichangia km vile viwanjavya mipira (Jamhuri, kirumba nk) ofc nyingi tu. Je kuna uwezekano zikarudi serikalini maana ni mali zetu sote?
Nisaidieni p'se.