Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,184
68,521
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.

Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email yangu inahitaji verification na itatumwa huko kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa ipo kwa mtu mwingine. Nna uhitaji sana na email yangu kwasasa kuna mambo yatakwama kabisa nikishindwa kuingia.

Nimejaribu kupiga hiyo namba ili angalau niongee na anaeitumia nimuombe anitumie ujumbe wa kuverify lakini hapatikani ni wiki sasa tangu nianze kufanya hivyo.

Nawaza akipatikana na akagoma kufanya navyoomba kutokana na uelewa na hofu ya kutapeliwa nitafanyaje maana nimeshajaribu kila recovery options zimegonga mwamba wanahitaji niverify kwa phone number.

Je, nitaweza kuirejesha hii namba? Nifanyeje
 
Huwezi kuirejesha ikawa yako. Uwezekano huo ungekuwepo ingekuwa shida tupu maana namba tunazotumia miaka ya karibuni sio bikra, zilishakuwa na wamiliki kabla yetu.
Cha kufanya ni kumtafuta mmiliki huyo mpya atoe ushirikiano akupe hizo OTP.
 
hapatikani
 
Ukisema sio bikra una maanisha nini?
 
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.

Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email yangu inahitaji verification na itatumwa huko kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa ipo kwa mtu mwingine. Nna uhitaji sana na email yangu kwasasa kuna mambo yatakwama kabisa nikishindwa kuingia.

Nimejaribu kupiga hiyo namba ili angalau niongee na anaeitumia nimuombe anitumie ujumbe wa kuverify lakini hapatikani ni wiki sasa tangu nianze kufanya hivyo.

Nawaza akipatikana na akagoma kufanya navyoomba kutokana na uelewa na hofu ya kutapeliwa nitafanyaje maana nimeshajaribu kila recovery options zimegonga mwamba wanahitaji niverify kwa phone number.

Je, nitaweza kuirejesha hii namba? Nifanyeje
Kuipata tena namba hiyo ni ngumu sana, hata kama utaenda kwa Service Provider. For special cases only unaweza ukarejeshewa tena, kwa sababu maalumu na kwa watu maalumu tu.
Aidha, katika uzoefu wangu utaratibu huu wa kubadilisha utambulusho wa mmiliki wa SIM card huwa unaambatana na "vitendo Fulani vya kishetani" kuwahusu watu fulani
 
Dahh mkuu na mim nina changamoto kama ya Kwako aisee najaribu kuwasilian na huyo mtu hanipi ushirikiano.
Nna mpango wa kwenda Voda Makao makuu wanisaidie kupata zile OTP
 
Hawawezi kukupa ushirikiano kabisa kwa sababu watakuwa wanakiuka sera ya faragha. Labda kama ukipata access ya hiyo email kuna maslahi ya nchi, hata hivyo watakuelekeza taasisi nyingine kwa kuanzia then ndio ufike kwao ili swala lifanyike kihalali.
 
Kuipata tena namba hiyo ni ngumu sana, hata kama utaenda kwa Service Provider. For special cases only unaweza ukarejeshewa tena, kwa sababu maalumu na kwa watu maalumu tu.
Aidha, katika uzoefu wangu utaratibu huu wa kubadilisha utambulusho wa mmiliki wa SIM card huwa unaambatana na "vitendo Fulani vya kishetani" kuwahusu watu fulani
kivipi mkuu hebu fafanua zaidi
 
Dahh mkuu na mim nina changamoto kama ya Kwako aisee najaribu kuwasilian na huyo mtu hanipi ushirikiano.
Nna mpango wa kwenda Voda Makao makuu wanisaidie kupata zile OTP
ni changamoto sana alafu nilikuwa natumia email vizuri tu ila baada ya kulog in kwenye pc ikadai verification.
 
Nakumbuka niliipata shida sana kwenye namba yangu ya Airtel niliyoisajili kama miaka minne hivi iloyopita,kumbe hapo awali ilikuwa inamilikiwa na mtu mmoja wa huko Morogoro ambaye alikuwa mganga wa kienyeji maarufu sana,basi nilikuwa napigiwa simu na watu wengi sana ambao nilichoka kuwaelekeza kuwa mimi siyo mganga wao,ilichukua mda mrefu sana hiyo halo kuisha.
 
namba mpya nyingi hasa za hii mitandao mikubwa hali huwa ni hivyo
 
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.

Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email yangu inahitaji verification na itatumwa huko kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa ipo kwa mtu mwingine. Nna uhitaji sana na email yangu kwasasa kuna mambo yatakwama kabisa nikishindwa kuingia.

Nimejaribu kupiga hiyo namba ili angalau niongee na anaeitumia nimuombe anitumie ujumbe wa kuverify lakini hapatikani ni wiki sasa tangu nianze kufanya hivyo.

Nawaza akipatikana na akagoma kufanya navyoomba kutokana na uelewa na hofu ya kutapeliwa nitafanyaje maana nimeshajaribu kila recovery options zimegonga mwamba wanahitaji niverify kwa phone number.

Je, nitaweza kuirejesha hii namba? Nifanyeje
jaribu kuangalia kwenye settings kabla hujaingia kwenye e-mail kuna more options kuna ku add additional veification phone numbers
 
Hapo mkuu ni utumie busara Sana, ndo utafanikiwa

Nkupe mfano mmoja, Nna no sita za mitandao yote ya simu na zote zinafanana, Nlianza kusajili no ya Voda hizo zingine zote nkawa natengeneza special number
Sasa ilipofikia mtandao wa Airtel nkafeli kwavile kwa sasa hawana huduma ya kutengeneza special number labda kwa special case Sana
Nlichokifanya nkaanza kupiga no tofaut za Airtel ambazo zinafanana na no nnayoitaka nkapata Mtu mmoja akakubali kuniuzia line yake ,then nkabadili usajili sahv imekua yangu
 
Kama ilipita siku 90 bila kureclaim basi imekula kwako! Hauna haki nayo kisheria
 
sidhani ila nitajaribu

mwenye namba hii hapatikani ningeongea nae aniuzie hata hizo OTP
Kama ilipita siku 90 bila kureclaim basi imekula kwako! Hauna haki nayo kisheria
duh changamoto
 
Back
Top Bottom