Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Ngoja nikupe siri ndugu.
Usifungue biashara sehemu eti kwakuwa umeona jirani amelemewa na wingi wa wateja. You will suffer consequences.
Unaweka kuuza bidhaa sh.elfu 2000 kama mbinu ya kuvutia wateja na wasikuone wakaendelea kwenda kununua kwa jirani yako anayeiuza sh.elfu 5.
Unaweza kuwa na lugha laini na nzuri na wateja wasije kwako wakaenda kwa jirani yako ambaye huwakaripia wateja daily.
Kwa hiyo unataka kusemaje?
 
muwe mnakujakuja maeneo ya New Africa Casino siku mojamoja au kwenye wine party Hayyt pale.....sasa unakwenda kulewa umeshikilia mtako wa mtu inakuja picha huku JF hakuna privacy kabisa.....
Hapo new africa mi washanipiga marufuku kuingia toka 2014. Sijui nikija saiv watanikumbuka?
 
Ngoja nikupe siri ndugu.
Usifungue biashara sehemu eti kwakuwa umeona jirani amelemewa na wingi wa wateja. You will suffer consequences.
Unaweka kuuza bidhaa sh.elfu 2000 kama mbinu ya kuvutia wateja na wasikuone wakaendelea kwenda kununua kwa jirani yako anayeiuza sh.elfu 5.
Unaweza kuwa na lugha laini na nzuri na wateja wasije kwako wakaenda kwa jirani yako ambaye huwakaripia wateja daily.
Mbona siri yenyewe hujatupa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom