Elections 2010 In Statistic CUF Imeshinda ZNZ

CCM imeiba uchaguzi Zanzibar. Kwa nini Seif anakubali matokeo wakati kihesabu CUF ndiyo walioshinda? Angalia kura za watu waliojindikisha kupiga kura na waliopiga kura utaona kuna wizi uliotokea.

Again, kwa nini Seif anakubali matokeo wakati CUF ndiyo walioshinda. Seif ni kibaraka wa CCM.
Toa takwimu za waliojiandikisha na asilimia za matokeo
 
Toa takwimu za waliojiandikisha na asilimia za matokeo

Seif keshakubali matokeo. Watu waliojindikisha ni wengi sana, lakini kwa mujibu wa CCM watu waliopiga kura ni wachache sana. Upo ushahidi wa kutosha, lakini kama kiongozi mkuu wa chama keshakubali matokeo, that mean even if we have a case, we have to agree on what he (Seif) said.
 
Kauli mbiu ya CCM Zanzibar ni; "mapinduzi daima" na serikali ya Zanzibar inajulikana kama serikali ya mapinduzi! Na rais wake pia ni Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi. Katika hali hiyo utakubaliana nami ya kuwa serikali iliyowekwa na wananchi kwa kura, haiwezi kuitwa serikali ya mapinduzi. Ikumbukwe, marehemu Karume aliwahi kusema ya kuwa, madaraka yaliyopatikana kwa mtutu wa bunduki, huwezi kuyapoteza kwa makaratasi; akiwa na maana ya kura. Kwa kujua hilo, inaelekea maalimu Seif aliona vema akampisha mwana haramu apite.
Kijana acha uongo aliesema mchi tumeipata kwa mapinduzi hatutaitoa kwa kipande cha karatasi hakuwa mzee karume usimsingizie mzee wa watu. Maneno hayo yamesemwa wakati wa utawala wa dr salimn amour ndani ya baraza la wawakilishi na mwana mama samiha suluhu wa ccm. Msiropokwe kama hamna data hamtakuwa na tofauti na ze utamu.
 
Inaonekana Sokomoko ndiye uliyekubuhu kwa uongo. Samia wakati wa Utawala wa Salmin hakuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi. Usizuliye watu. Utapazwa Bwana mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom