Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Huwezi kukamilisha fact finding kama hujamuuliza mtu ambaye evidence ina m point out.Sasa kama vile vimemo vyote vina a plausible explanation from Lowassa je, si ripoti inakuwa hogwash bila kumuita Lowassa?
Guys lets face it, Bimkubwa ametoa analysis nzuri tu hapo juu ambayo hata mimi nimei endorse,political machinery yetu hairuhusu mtu mkubwa kama PM akamatwe na sheria kwani tumeona hata watu kutoa ushahidi ni tatizo, but at the end of the day the end justifies the means and sometimes when you are fighting gross corruption you have to improvise, kitu ambacho Mwakyembe alifanya.Hata katika uandishi wa habari, kwa wanaofuatilia principled journalism, huwezi kuandika article kumaccuse mtu bila ya kumpa nafasi ya kujieleza na ndiyo maana wanaojua kuandika watakuambia "tulipofanya jitihada za kuongea na so and so hatukufanukiwa" au tulipewa "no comment" il mradi wakuonyeshe kuwa article yao haiko one sided.
Sasa kwa msingi huo ripoti ya Mwakyembe technically iko one sided kwa sababu haikumpa accused nafasi ya kujitetea, which is what Lowassa is hanging on.Lakini ukiisoma ripoti au hata Kumsikiliza Mama Malecela bungeni utaona evidence ni kubwa sana, halafu hata zaidi ya hivyo Lowassa hakutoa a point by point rebuttal, kitu kinachoonyesha kuwa hana la kujibu on issues, atavielezaje vimemo? atazielezaje kauli za Msabaha?
Lets be fair, technically what was done is wrong but it was necessary as this was uncharted territory.Otherwise tungekuwa na ripoti nyingine ya Warioba.
Muungwana Pundit heshima mbele. Naomba nitofautiane na wewe kwa hii analysis yake. I once again say it, Lowassa was not the accused person! na hakuwa mlengwa wa hii tume ya Harrison! In otherwords alitokea as a secondary material! Unless kama ulitaka hii tume ifanye kazi nje ya terms of reference. WANGEMUITA KWA VIGEZO VIPI? Angewauliza hii tume inanihusu nini...kamuulize waziri wa Nishati ndo muhusika...Kifupi kama unakumbuka au umesoma report hata Mwakyembe amesema, kama Msabaha angekubali culpabality ya Lowassa wangemuita, ila alikataa..na kwa hiyo prudently..wakatoa evidence zao zilivyo.
Na tume haikushauri PM afukuzwe au aadhibiwe! kifupi kama PM angekuwa innocent ange-rebut there and then kwa kuelezea circumstances za involvement yake katika hii issue, na at the end of the day...bunge lingetekeleza recommendations. na kwenye recommendations hakuna waliposema Lowassa afukuzwe kazi!!!! Sema naturally NAFSI ILIMSUTA!!!! kwamba I was responsible and I have to carry my cross!
Analogy yako na Warioba Commission is not applicable here mkuu wangu. Why? Report haikutekelezwa kwa sababu walioiunda hawakutaka kuitekeleza albeit its imperfections. Hata hii ya Mwakyembe walioiunda wasingetaka kuitekeleza ingekuwa consigned kwenye dustbin! So outcome na implemention ya report hinges on political will to accept the consequences of the findings. while in Mwakyembe`s report JK was ready, in WARIOBA`S REPORT MKAPA WAS NOT ready to accept the consequences. THATS THE DIFFERENCE.
Tusitake kuitumia vibaya doctrine ya natural justice! Haikuwa violated kwa sababu haikuwa applicable. Simple.
Weekend njema mkuu!