In auguration day of Stella Maris Mtwara University college(STEMMUCO)

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,941
Leo ni siku rasmi ya uzinduzi wa STEMMUCO na mgeni rasmi ni Mh Lukuvi akimwakilisha waziri mkuu, stemmuco ni chuo kikuu kishiriki cha Mt Agustino Tanzania. Chuo kilianza sept 2009 kikiwa na course moja ya (B.AEduc) na kwa mwaka uliofuata course za B.A sociology na Bachelor of philosophy with education zilianzishwa. Kwa mwaka mpya wa masomo 2012-2013 kuna course mpya tatu zitaongezwa nazo ni Bachelor of business administration(BBA), bachelor of laws( LLB) na nyingne mbalimbali kwa level ya certificate.
College principal:
ni Rev.Dr.Kamuhabwa Longinus Rutagwelera
www.stemmuco.ac.tz
 
Stella Maris Mtwara University College.
Hivi MUSLIM UNIVERSITY WAO WANA TAWI LOLOTE ZAIDI YA MOROGORO?KAMA HAWANA WAJIFUNZE HAPA HATUTAKI LAWAMA HAPO BAADAE!
 
utashangaa wanaoenda kusoma huko ni wachaga na makabila mengine...wenyewe wa 'ntwara' wanaishia kucheza ngoma za jando na unyago...!
 
Wakati nasikia saut mtwara nilipadharau ila nilipofika nimeamin hawa wakatoliki wanaweza.pametulia sana na wamejipanga tatizo chuo kimejaa wahaya na wasukuma watu wakusini wakuhesabu.big up wana stemmuco
 
kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
 
Mlitaka wawe elfu kumi? Mtwara yenyewe ina watu wangapi? Inamaana watu wa mtwara wasome hapo pekee wakati vyuo vipo vingi? Hebu pevuka uwezo wa kufikiri namna hii ndio mnadhalilisha wasomi wa nchi hii, poor thinking, watu mnawaza ukabila na dharau juu ya wenzenu. Aliyeamua kujenga chuo kule sio mjinga.
 
ndugu mbna povu lina kutoka mimi nilichofanya ni kupresent takwimu kama zilivyotolewa.
 
Wakati nasikia saut mtwara nilipadharau ila nilipofika nimeamin hawa wakatoliki wanaweza.pametulia sana na wamejipanga tatizo chuo kimejaa wahaya na wasukuma watu wakusini wakuhesabu.big up wana stemmuco

Wewe ulitaka wajae watu gani? Acha ukabila yaani hata kama hawajaomba waitwe ili kubalance representation..hebu tuache huu ujinga..
 
kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
lakini bado kuna watu watakuambia ni nyerere huyo
ndiyo ameirudisha nyuma mikoa ya kusini na pwani kumbe jamaa wenyewe wamelala usingizi wa kudumu...!
 
kwa takwimu zilizotolewa na principal wa chuo ni kwamba kati ya wanafunzi zaidi ya 2600, wanafunzi ambao ni wenyeji na wenye asili ya mtwara na lindi ni 67 tu.
Mbona UDOM haina wagogo wengi hutujasema!? Wengine hatupendi tusome maeneo ya Nyumbani:
 
Does it matter mchagga akisomea Mtwara na mmakonde akisomea Kilimanjaro? Kwani lazima usomee ndani ya Mkoa/Wilaya uliyozaliwa?
ni kweli kaka ni kweli, it doesn't matter...na tunatambua uwepo wa wanafunzi weeeengi wenye asili ya lindi na mtwara katika vyuo vyetu vingine nje ya mtwara/lindi kama vile udsm,mum,ifm,mzumbe nk...wabongo kwa unafiki wa kuficha maradhi siwawezi...eti ukabila...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom