Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,587
- 9,324
lakini bado kuna watu watakuambia ni nyerere huyo
ndiyo ameirudisha nyuma mikoa ya kusini na pwani kumbe jamaa wenyewe wamelala usingizi wa kudumu...!
Rais mkapa anatoka kwenu? Benard membe na wasomi pamoja na viongozi wengine akiwemo Nape wenu anatoka kwenu? Hivyo ni viashiria kuwa wasomi wapo na wacheza ngoma wapo. Na kwakudhihisha hili, pamoja mnasema wachaga wanajua pesa na wamesoma lakini nyumbani kwangu house maid wangu ni mchaga wa rombo tena ni wa tatu sasa. Nasema hivi kumaanisha kuwa sio kwamba mkoa ukiendelea basi hakuna waliobaki nyuma.