Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Shule ni kwa ajili ya kusoma ili ultimately umma huu wa watz, ufaidike..hizo tambo zenu nyingine za majivuno ya kidini, kikabila na kikanda nikudhihiri tu kuwa watz wengi 'wamesoma' lakini hawajaelimika na hivyo hawawezi kulisaidia taifa. ushahidi upo wazi.