Imetokea jana .! we ungefanyaje?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865

Kweli dunia ina changamoto, Jana familia moja imepata pigo baada ya binti wao aliyekuwa anatarajiwa kuagwa (send off) kufiwa na dada yake asubuhi (yaani dada mtu kafa asubuhi wakati jioni ni sendoff ya mdogo wake!)

Vikatengwa vyumba viwili, kimoja cha kupokea wale waliokuja kutoa pole, na chumba cha pili kilichotengwa kikawa ni cha wamama kumfunda mtarajiwa.

Hivi ingekupata wewe kama we ndo ;decision maker ungefanyaje?
HIZI NI CHANGAMOTO ZA KIMAISHA!
 
Kumradhi, Baba kaamua shughuri iendelee kama kawaida, yaani leo ndo msiba uanze!, sijui ikiwekwa taarabu watacheza?
 
Kweli''Dead man tells no lies''...... aliyekufa hana chake.Si wange ipeleka mbele hiyo send off?Atleast after 50days then waendelee na shughuli.Ama muoaji atakimbia?ovyo...kabisa
 
Kumradhi, Baba kaamua shughuri iendelee kama kawaida, yaani leo ndo msiba uanze!, sijui ikiwekwa taarabu watacheza?

Kidogo haijakaa sawa, kwanini wasiahirishe na vile vyakula vya sherehe vitumike mcban kama walikuwa wamelipia
 
Kweli dunia ina changamoto, Jana familia moja imepata pigo baada ya binti wao aliyekuwa anatarajiwa kuagwa (send off) kufiwa na dada yake asubuhi (yaani dada mtu kafa asubuhi wakati jioni ni sendoff ya mdogo wake!)

Vikatengwa vyumba viwili, kimoja cha kupokea wale waliokuja kutoa pole, na chumba cha pili kilichotengwa kikawa ni cha wamama kumfunda mtarajiwa.

Hivi ingekupata wewe kama we ndo ;decision maker ungefanyaje?
HIZI NI CHANGAMOTO ZA KIMAISHA!
Kwenye nyekundu naona kama umejichanganya labda uniambie send off hutumika kufunda watarajiwa....
ninavyo jua mimi send off siyo issue sana wange weza kabisa kuahilisha....
 
kwenye nyekundu naona kama umejichanganya labda uniambie send off hutumika kufunda watarajiwa....
Ninavyo jua mimi send off siyo issue sana wange weza kabisa kuahilisha....

mwaya kusini sendoff ndio kparty
 
Kwenye nyekundu naona kama umejichanganya labda uniambie send off hutumika kufunda watarajiwa....
ninavyo jua mimi send off siyo issue sana wange weza kabisa kuahilisha....

Siku moja kabla kikwetu, wamama hukaa na kumfunda mtarajiwa. Hivi ninavyoongea ndo najiandaa kuelekea msibani, na sendoff imefanyika jana ila nimepata taarifa kuwa shughuri imetawaliwa na mapozi mengi, shamra shamra hazikuwepo kivile!
 
Watu wame complicate sana maisha siku hizi yaani msichana kabla ya kuolewa ana shughuli zaidi ya moja, kuna send off, then kitchen party, sijui nini kinatangulia, swali langu ni kuwa, hivi ni lazima kufanya yote haya, isitoshe watu wanaoombwa michango ni walewale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom