Imenishtua sana sijawi kuona

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Nimeshtuka na kushangaa namna wananchi wa north korea wanavyomlilia kiongoz wao kwa uchungu na karibia wote wanalia,hio inatokana na mazuri aliyofanya kim jong,je apa kwetu tz kuna mtu au kiongoz anaweza kuliliwa sana ikitokea akifarik kama kim jong?
 
usanii tupu
viongozi wanalazimisha makanisa kuyatembelea afu wanajidai wamealikwa kwa harambee.

Si kila uonacho kiko kama kilivyo.
 
Everything that glitters, is not gold. Don't belive everything you see on TV.

Kim Jong Il mwenyewe hakuamini kama hiyo adolation yote aliyopata ilikuwa genuine.

Kim Jong Un kashaambiwa na kaka yake kwamba wakorea kaskazini wana umasikini sana na hizi habari viongozi kupendwa sana haziwezejkani katika umasikini huu.
 
According to the BBC correspondent, soldiers were forcing people to cry,and the North Koreans knew what their dictactors wanted and provided it in liters( tears )
 
Wamarekani wapuuzi sana. Wao wanachoweza ni kukosanisha watu tu. Kila mtu anayeenda kinyume nao hawachelewi kumuita dikteta. Kwahiyo dikteta ni mtu asiyeendana na masharti ya Marekani siyo? Na kwa bahati mbaya miafrika mlivyokuwa na njaa mnalazimika kukubaliana na kila kauli ya Marekani.
 
According to the BBC correspondent, soldiers were forcing people to cry,and the North Koreans knew what their dictactors wanted and provided it in liters( tears )

Hao BBC wenyewe walishawahi kupewa mchango wa mishahara ya wafanyakazi na Kim Jong.
 
na vile walivokua wanalia, kweli inaelekea walikua wanafanya maigizo. Km wtt, ovyooo
 
wonders shall never end.
Ila hatuwezi fanana kimawazo
maisha yngekuwa so boring.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom