Imenishtua sana sijawi kuona

msafara wa nyerere.jpg

hata Nyerere tulimlilia sana mkuu.

attachment.php
 
machozi yana tafsiri nyingi sana.... wakorea ndio wanajua .. kwanini wanalia ... niwakumbushe S.africa kombe la Dunia wakati wimbo wa wa taifa unapigwa yule captain alikuwa akilia.. ndio maana kwenye ile thread ya mnyika alipotoa tamko israel iombe radhi .. niliwaambia wadau kuna kitu kinaitwa patriotism ...! hiki kinatakiwa kiwekwe mbele SIASA nyuma...



pamoja na umaskini watu wanaipenda nchi yao.. ni kitu amabcho wa tz hatuna tunafurahi kutukanwa na israel mnaikumbuka hii picha wimbo wa taifa wa korea ya kusini ulikuwa ukipigwa kombe la dunia


r600025_3899203.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom