Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiriana Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Kainunua kwa pesa yake au kwa pesa ya serikali?
Nikitumia pesa yangu kwa kula bata na totoz sio kosa ila nikitumia pesa ya serikali kufanya hivyo hilo ni kosa.
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiriana Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa

Serikali sio mtu ni wananchi! Hakuna mtu kakataza wafanyakazi wa serikali kununua magari yao binafsi. Cha msingi ni pesa ya serikali.

Hapa ndiyo tuna matatizo na jamii yetu ambayo hata huyu hawezi kutofautisha serikali na binafsi
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiriana Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Ndiyo mmefundishwa kuwa siasa ni fitna na kusambaza uongo dhidi ya mpinzani wako? Mnasikitisha sana.

Title yako umeiweka kama quotation wakati hakuna mahali Lissu ametamka sentensi hiyo.

Mods chukueni hatua Moderator Innovator
Diversity
Active

EDIT: Nawashukuru Mods kwa kurekebisha upotoshaji wa mleta mada kwenye title ingawa bado tunamkaanga maana bado amepotosha kilichosemwa.
 
Ndiyo mmefundishwa kuwa siasa ni fitna na kusambaza uongo dhidi ya mpinzani wako? Mnasikitisha sana.

Title yako umeiweka kama quotation wakati hakuna mahali Lissu ametamka sentensi hiyo.

Mods chukueni hatua Moderator Innovator
Lissu amesema hayo, fuatilia mahojiano clouds.

Tusiwe na mahaba kupitiliza Kwa vyama vya upinzani, wananchi tunatakiwa tuvidhibiti.

Wananchi tumekuwa tukipinga viongozi kutumia magari ya ml 500 wakati wajawazito hawana pa kujifungulia vijijini.

KATIBA mpya tunayoiandika tuhakikishe inaielekeza Serikali kutumia magari ya Bei himilivu,

Hii ni Nchi maskini.

Aamen.
 
Mahojiano hayo nimesikiliza na hakuna mahali ametamka SENTENSI hiyo kwenye title. Najua ninachokisema. Unachukua maneno unaungaunga upate maana unayotaka wewe halafu unamlisha mtu, decency iko wapi?
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiriana Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Sikujua Lissu ni m-plantation.
Hiyo gari normal kabisa.
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Lissu sasa anatumika tu kama rubber stamps hana jipya, yeye na mbowe wanajua wafanyayo mazungumzo yao na sa100 ni giza nene mpaka leo wameshindwa kutolea ufafanuzi, mbowe mpaka naandika hapa hajasema waliongea nini Ikulu na Rais alipotoka jela breki ya kwanza
 
Kwanza sisi tushazoea maisha haya tunayoishi miaka na miaka huko kubana matumizi kwa serikali kutafanya viongozi wanaotakiwa kubana matumizi waishi Maisha magumu sana ambayo hawajazoea kabisa na sio malengo yao! Mimi binafsi nashauri km serikali inaweza kuongeza kidogo matumizi kwa kununua hizi LC300 V8 za kutosha ikiwezekana kila waziri na katibu mkuu kuwa nayo hata mawili kwa uchache maana Kuna dharula. Huyu Lissu asitupande kichwani
 
Back
Top Bottom