Imekaaje kiuchumi kitendo cha nauli kupanda zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja?

ministrant

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
554
1,134
Wasalaam,

Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii juu ya kupanda kwa nauli za daladala na zile za usafiri wa mabasi kwenda Mikoani.

Imekuwa sio jambo la kawaida kwa nauli kupaa kiasi hicho ndani ya kipandi cha Mwaka mmoja kuanzia January hadi December.

Shida iko wapi ikiwa kipato cha mwananchi wa kawaida hakijaongezeka kwa kasi ya kiwango hicho lakini gharama za usafiri zimepaa kwa zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.

Nawasilisha.
 
Lakini kipindi wewe unalia madereva, makonda na matajiri wa daladala/mabasi wanacheka tu kufa kufaana
 
Ni dalili mbaya sana kiusalama hususani usalama wa uchumi wetu.
 
Back
Top Bottom