Imekaaje baada ya mtoto kuhitimu la 7 nikamsomesha QT?

Kuanzia mwaka huu 2024, QT haitakuwepo badala yake wote private candidates na wanafunzi wa shuleni watafanya mtihani sawa wa upimaji yani FTNA.
Masomo ya kujisajili na kufanyia mtihani ni saba ila akipata D mbili kati ya hayo, ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne (CSEE) mwaka unaofuata.
Kwenye mtihani wa kidato cha nne atajisajili masomo 7.
Zingatia: Mwanafunzi anaweza kujisajili masomo 7 yanayohitajika ila akaamua kuwa serious kusoma masomo manne au matano tu yanayoendana na combination (tahasusi) anayoipenda.
Kwahiyo ile Elimu ya Secondary ya Miaka miwili haipo ten?
 
Kuanzia mwaka huu 2024, QT haitakuwepo badala yake wote private candidates na wanafunzi wa shuleni watafanya mtihani sawa wa upimaji yani FTNA.
Masomo ya kujisajili na kufanyia mtihani ni saba ila akipata D mbili kati ya hayo, ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne (CSEE) mwaka unaofuata.
Kwenye mtihani wa kidato cha nne atajisajili masomo 7.
Zingatia: Mwanafunzi anaweza kujisajili masomo 7 yanayohitajika ila akaamua kuwa serious kusoma masomo manne au matano tu yanayoendana na combination (tahasusi) anayoipenda.
Hizi tarifa zako umezipata wapi mbona Necta zipo hizi
 
Attachments

  • TANGAZO_FTNA_CSEE_2024.pdf
    371.3 KB · Views: 4
Shule ni sehemu ya mtoto kujamiiana(socialize) na rika lake,
Muache mtoto aende sambamba na umri wake.
 
Kufaulu mtu wa QT ni ngumu mno maana kule kuna Paper 1 na paper 2,wakati hawa kawaida wanapiga paper 1 moja tu
1.Asisome masomo ya science
2.Awe ma akili za ziada hata kwa hayo masomo arts.
3. English itamsaidia kuelewa harka masomo
4.yaani tuition sanaa yaani .

Qt kufaulu ni mgumu mno ila ukimuwezesha atawezkufa
 
Kwahiyo ili mwanafunzi wa QT afanye mtihani wa form four sharti afaulu kwanzia d mbili?

Sio tena mtihani wa Upimaji?

Hii ni shughuli mpya kwa wana QT wapya
Anatakiwa afanye mtihani wa upimaji wa kidato cha pili (FTNA) kama wanaofanya form two kila mwaka siyo Qualifying Test (QT) na akifanikiwa kufaulu kwa angalau D mbili basi ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne (CSEE) kama private candidate.
 
Kwaiyo form 3&4 utasoma Mwaka Mmoja Alfu kisha utafanya Necta kama PC siyo?
 
Back
Top Bottom