Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

Hata MILYA angechelewa kujisafisha dak3 tu za mbele asingelisafishika tena! Huyu mzee hata akija cdm maana inawezekana {kumbuka hamna mtu anaweza kunyimwa uanachama wa kawaida} hana tena effect, kazeeeeka. Ah, anahemea ela tu kwa sasa lakini hana nguvu.
 
Wakuu nimeisoma hiyo habar,ni ya kusadikika zaidi,ila nilipo peruz userID ya mleta uzi!mmmh nimeogopa,anaitwa I bange
 
Last edited by a moderator:
labda aje chadema kwa sharti la kuwa mwanachama wa kawaida bila kugombea nafasi yeyote
Bado mtachafuka tu!! huyo mlishampigia kelele kuwa ni fisadi sasa kama huko mafisadi hawana nafasi sasa inakuwaje mnampigia mahesabu huyu mamviii
 
Source ya habari yangu ni mtu aliyekaribu sana na Lowassa.

Lowassa amejiwekea option tatu, moja kubaki CCM kama hawatamwekea vikwazo vya kugombea urais, pili amuunge mkono mtu wake ndani ya CCM na ikitokea mtu wake amekosa ataenda Chadema. Mazungumzo ya awali yalishafanyika na Chadema kwamba itakuwa rahisi sana kumsafisha. Hoja kubwa ni kwamba tatizo la ufisadi si la mtu binafsi bali la mfumo uliojengwa na ccm, kwamba unaweza ukawa na wana ccm wabovu wakaja chadema wakawa wasafi kwani mfumo utakaojengwa na chadema hauruhusu ufisadi. Na nadhani hiyo ndio hoja si kwamba wana chadema ni malaika, hata kidogo. Watakachofanya ni kujenga mfumo mpya na taasisis huru zenye nguvu kupambana na rushwa. Akiwa ndani ya chadema Lowassa hatakuwa kiongozi bali mtu wa kawaida ila anahitaji zaidi ulinzi azibughudhiwe maana anahofia wakiingia kina Sitta watamsumbua sana.

Sasa mkakati mkubwa wa Lowassa kwa sasa ni kuisaidia Chadema indirectly ili izidi kuimarika na kuwa tisho la kweli kwa CM. lengo ni nini? Inasemekana lengo ni kuwa CCM ikiwa imewekwa kitanzini hawatamudu kuruhusu mgawanyiko ndani ya chama hasa kuwaondoa wale wanaoonekana kama mafisadi. Itabidi waruhusu tu yule atakayeshinda kura za maoni ipite bila mizengwe ili chama kibaki kimoja. Lakini swali ni je, kama Lowassa akipata tiketi ya CCM atawarudisha vipi wale ambao tayari wameshahamia chadema na kuijenga vilivyo? Wengine watasema kirahisi kuwa ni uzushi ila kama upo karibu na viongozi wakuu wa chadema au marafiki wa Lowassa watakuambia kwa sasa Lowassa yupo karibu sana na Chadema na kuna agenda nzito ndani yake. Siku njema

Umesema mwenyewe, ni kweli kabisa huu ni Uzushi. Leta uzushi mwingine, huu hauna mashiko. :yawn:
 
Bangi nibangue nisimuone Lowasa akitia maguu ndani ya CHADEMA maana itakuwa ndiyo mwisho wa M4C
 
Mleta thread siwezi kukupinga kuhusu ishu ya EL uliyoieleza, kwani kila mtu ana source zake. Lakini nachotaka kukueleza CDM ni chama makini sana, usiwe na shaka na hilo....
 
Maelezo yako hayana mafao kwa sababu unajaribu kuwagawa viongozi wa ngazi za juu wa ccm katika makundi mawili yaani waliosafi na mafisadi. Lakini ki ukweli ni kwamba hakuna aliye safi wote wako kundi moja, hapa unajaribu tu kumtetea mmoja wao dhidi ya mwingine, kwa kutoa mfano, jiulize lowasa fisadi na jk je? kuna ufisadi wa aina nyingi kama wa raslimali, utumiaji mbaya wa madaraka, kuigawa jamii kiitikadi nk nk. Ukiunganisha aina zote za ufisadi jk ni mfisadi hatari kuliko el

jk anafisadi kupitia familia
 
Mh.Lowassa ndiye rais wetu ajaye 2015. Tuache kumsakama unwisely

yaani lowassa akigombea urais ndio mazishi ya ccm yatakuwa yamewadia rasmi. tz ya sasa si ile ya juzi, sikuizi hata wapiga debe wanajua siasa tena wanafuatilia mbaya kabisa. likisomamishwa jiwe na lowassa, hata mimi ntachagua jiwe.
 
mhh! yaani lowassa ninayemjua mimi au ni mwingine? hatumuhitaji huku cdm! tena akaembali kabisa. na ikiwa viongozi watampokea, hata mm ntapoteza imani na chama.
 
Source ya habari yangu ni mtu aliyekaribu sana na Lowassa.

Lowassa amejiwekea option tatu, moja kubaki CCM kama hawatamwekea vikwazo vya kugombea urais, pili amuunge mkono mtu wake ndani ya CCM na ikitokea mtu wake amekosa ataenda Chadema. Mazungumzo ya awali yalishafanyika na Chadema kwamba itakuwa rahisi sana kumsafisha. Hoja kubwa ni kwamba tatizo la ufisadi si la mtu binafsi bali la mfumo uliojengwa na ccm, kwamba unaweza ukawa na wana ccm wabovu wakaja chadema wakawa wasafi kwani mfumo utakaojengwa na chadema hauruhusu ufisadi. Na nadhani hiyo ndio hoja si kwamba wana chadema ni malaika, hata kidogo. Watakachofanya ni kujenga mfumo mpya na taasisis huru zenye nguvu kupambana na rushwa. Akiwa ndani ya chadema Lowassa hatakuwa kiongozi bali mtu wa kawaida ila anahitaji zaidi ulinzi azibughudhiwe maana anahofia wakiingia kina Sitta watamsumbua sana.

Sasa mkakati mkubwa wa Lowassa kwa sasa ni kuisaidia Chadema indirectly ili izidi kuimarika na kuwa tisho la kweli kwa CM. lengo ni nini? Inasemekana lengo ni kuwa CCM ikiwa imewekwa kitanzini hawatamudu kuruhusu mgawanyiko ndani ya chama hasa kuwaondoa wale wanaoonekana kama mafisadi. Itabidi waruhusu tu yule atakayeshinda kura za maoni ipite bila mizengwe ili chama kibaki kimoja. Lakini swali ni je, kama Lowassa akipata tiketi ya CCM atawarudisha vipi wale ambao tayari wameshahamia chadema na kuijenga vilivyo? Wengine watasema kirahisi kuwa ni uzushi ila kama upo karibu na viongozi wakuu wa chadema au marafiki wa Lowassa watakuambia kwa sasa Lowassa yupo karibu sana na Chadema na kuna agenda nzito ndani yake. Siku njema

inaonesha jamaa amekutuma ili umsafishie njia angalia usiwe kama 'katapila linatengeneza barabara ikikamilika tu haliruhusiwi kupita'
 
Akiingia CHADEMA ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kuitwa chama cha siasa,wao watapima kama ni bora kumuingiza mwanachama mmoja na kupoteza maelfu ambao watajiondoa kwa kuchukizwa na icho kitu,Nadhani hii mada kaweka mwenyewe au kamtuma mtu apime kina cha maji.
 
Back
Top Bottom