Iliyokuwa Nyumbani Hotel Mwanza kufunguliwa tena

Hoteli ilikuwa nzuri na ya kisasa. Nilikuwa nafikiaga hapo. Nilipapenda pia kwa kuwa ipo mjini, na ground floor kuna ATM za kutosha za CRDB pamoja na tawi. Natumaini wataweka rates ambazo ni 'affordable'. Mara ya mwisho hapo nilikuwa nalala chumba single kwa 50,000/=.


Iko sehemu gani hii??
 
What a coincidence.... Hii thread ni ya zamani but its useful. Yule mwekezaji aliyeingis baada ya NYUMBANI HOTEL alifariki na biashara ikafariki.

Sasa kaingia mwekezaji mwingine... Na maelezo yanafanana isipokuwa jina...
OK,


Nimekupata mkuu,niliona thread kwamba ya kitambo saana kumbe bado inaakisi hali halisi kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom