Iliyokuwa Nyumbani Hotel Mwanza kufunguliwa tena

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,870
Ni habari za kuthibitika kuwa iliyokuwa NYUMBANI HOTEL Jijin hapa itafunguliwa muda sio mrefu baada ya kufungwa kwa muda wa miezi kadhaa. . . mwekezaji toka jijini dsm anayemiliki hotel kadhaa jijini dsm ndiyo anatarajia kuifufua nyumbani hotel. hivi sasa mafundi wanaendelea na marekebisho!
 
Hapo ndipo dr. Slaa alipatia ajali ya kuteguka mkono. je kwanini ilikuwa imefungiwa? je na soup ya sangara itaendelea kuwepo?. mia
 
Hiyo Hotel ni kitega uchumi cha NSSF Kama ilivyo JB Belmont hapa mkapa tower! Inasemekana mtu aliyekuwa Ana-operate Hotel hiyo kwa jina la Nyumbani Hotel alikuwa halipi pango (Kama ilivyokuwa kwa msomali wa Paradise hapo Mkapa tower) akiamini NSSF ni shirika la umma na kwamba si wafuatiliaji wazuri wa madeni hivyo wakamtimua! Hiyo ni habari njema kwani kusema ukweli ni hotel nzuri sana kwa kiwango cha Mwanza!
 
Ila wizi kwenye mahotel mwanza jamani hadi aibu! Nyumbani hotel naona ilikuwa inaongoza kwa wageni kuibiwa na chakusikitisha zaidi uongozi ulikuwa hausaidii chochote. Hope mwekezaji mpya ataweka management makini zaidi. YOTE KWA YOTE NAIPENDA SANA MWANZA.
 
wee mwekezaji wa sasa kiboko! n-way karibu mwanza. . .
 
Kumbe ilifungwa? Kulikuwa na shida gani? Nilikaa pale one week January/February 2011.
 
Ila wizi kwenye mahotel mwanza jamani hadi aibu! Nyumbani hotel naona ilikuwa inaongoza kwa wageni kuibiwa na chakusikitisha zaidi uongozi ulikuwa hausaidii chochote. Hope mwekezaji mpya ataweka management makini zaidi. YOTE KWA YOTE NAIPENDA SANA MWANZA.
Sasa kama unachukua ma CD wa Mwanza hasa wale wanaojipanga mbele ya rumours,au wa Kirumba unadhani wataacha kukuibia?nashangaa kwanini serikali hajatoa public security advisory kwani sasa hivi Mwanza inaongoza kwa wizi wa machangu na watu kuleweshwa na kuibiwa,ukienda Mwanza achana na hao watu kabisa,pia usiruhusu mtu usiyemfahamu akuzoee.
 
Hoteli ilikuwa nzuri na ya kisasa. Nilikuwa nafikiaga hapo. Nilipapenda pia kwa kuwa ipo mjini, na ground floor kuna ATM za kutosha za CRDB pamoja na tawi. Natumaini wataweka rates ambazo ni 'affordable'. Mara ya mwisho hapo nilikuwa nalala chumba single kwa 50,000/=.
 
Mmmhhh,

Hii thread mbona kitambo sana au Mimi ndo sielewi....!

What a coincidence.... Hii thread ni ya zamani but its useful. Yule mwekezaji aliyeingis baada ya NYUMBANI HOTEL alifariki na biashara ikafariki.

Sasa kaingia mwekezaji mwingine... Na maelezo yanafanana isipokuwa jina...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom