Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,199
- 10,931
Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake.
Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile imesimamisha misaada kifedha katika wakati ambapo uchumi wa Israel unadidimia kiasi kwamba bondi za miamala ya kifedha za nchi hiyo kwenye taasisi za kiuchumi duniani zimeshushwa thamani.
Ukija ndani ya nchi yake wito wa kumtaka ajiondoe madarakani kutoka viongozi wastaafu na hata mawaziri wake yameongezeka huku wananchi wakiandamana kwa lengo hilo hilo.
Kutokana na kiwewe kilichoanza kumuingia waziri hiyo cha uwezekano wa vita kutoisha au kwisha kwa aibu na kushindwa kwake,amelitaka jeshi la chi hiyo kuwamaliza Hamas huko Rafaha kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao unatarajiwa kuanza wastani wa Machi 10 mwezi ujao.
Kauli hiyo aliidhihirisha hivi karibuni wakati akijadiliana na wenzake kwenye baraza la kivita lililoundwa maalum kuongoza vita vya Gaza.
Haijulikani ni kipi kimempelekea kuwaza mfungo wa Ramadhani huku akijua muda huo upo karibu kuliko safari aliyotoka nayo ambayo ni refu na hakufikia malengo ya vita.
According to a Channel 12 news report on Friday evening, the prime minister recently told the small war cabinet that the operation in Gaza’s southernmost city, where more than half of the coastal enclave’s 2.3 million residents are sheltering, will need to be completed before the Muslim holy month of Ramadan, which begins around March 10.