Ilishawahi tokea siku umevaa nguo hadi ukajijua umependeza?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Kuna siku imeshanitokea ukapiga pamba hadi ukajikubali mwenyewe?
Leo imenitokea. Sijafika nnapokwenda ila sitashangaa kuambiwa nimependeza.
 
Nikifika Ofisini Tu mdada wa Mapokezi atasema Tu kuwa Leo nomaaa hapo bado Yule Mwana mama HR wangu nae atatoa sifa zake
 
Kuna siku imeshanitokea ukapiga pamba hadi ukajikubali mwenyewe?
Leo imenitokea. Sijafika nnapokwenda ila sitashangaa kuambiwa nimependeza.
Kuna siku mwenyewe nimetinga viwalo nikajikubali basi nikampita chizi fresh mmoja hivi, basi wakati napita akasema 'hii mitumba siku hizi inasaidia'.......:):):)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom