Ili ufurahie uhusiano wa kimapenzi ni lazima uwe na mpenzi mmoja!

Kuwa na wanawake wengi sio sifa bali ni being smart! smart kwa kuwa dunia ya sasa full kuchakachua na kama utaweka ur heart na emotions zako kwa mwanamke mmoja basi wee unachukuwa risk kubwa sana.

Sasa ukiwa na kama watatu hivi chances za wewe kuumizwa ni ndogo na pia chance kubwa ni kwamba utapunguza chance ya kupata ngoma provided u smart enuf kujua kuwa kama wewe una watatu basi na wewe hapo haupo peke yako

kabisa mkuu
 
Ukiwa na wapenzi wengi unakua hauko huru kabisa, Utakuta mmoja anataka muonane ijumaa jioni, wakati huo na mwingine anataka muonane ijumaa hio hio jioni, Basi hapo lazima mmoja adanganywe .

Mwisho wa siku unajikuta unajiumiza mwenyewe kwa kupoteza muda , fedha na nguvu zako ili kuwa handle wote.

Unakua huna uhuru hata na simu yako, maana unahofia wataweza wakajuana. Simu ikiita unastuka ! kila siku unakua ni mtu wa kihoro, Ya nini yoooote hayo?

I love you ila #Rubii asione
 
Kuwa na wanawake wengi sio sifa bali ni being smart! smart kwa kuwa dunia ya sasa full kuchakachua na kama utaweka ur heart na emotions zako kwa mwanamke mmoja basi wee unachukuwa risk kubwa sana.

Sasa ukiwa na kama watatu hivi chances za wewe kuumizwa ni ndogo na pia chance kubwa ni kwamba utapunguza chance ya kupata ngoma provided u smart enuf kujua kuwa kama wewe una watatu basi na wewe hapo haupo peke yako

Mzee wa threesome
 
Mmmhmmm... Yaani wenye wawili hata sijui huwa wanafanyajefanyaje honestly.. Mimi siwezi na ndio maana nikigundua you cheated me , you are done with me for good ... Kama sikufanyii hivyo why yeye anifanyie hivyo. Thanks...
 
Back
Top Bottom