Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,622
Wanabodi,

Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"

Kuijua psychoanalysis ni nini na ni ya kazi gani? tembelea hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... na kwa vile mimi ni Mkristu, baadhi ya mafundisho yangu humu yatakuwa based on the Bible teachings.

Somo la leo ni jinsi ya kuwabaini na kuwatambua viongozi bora in future. Je tutawatambuaje viongozi bora kabla hatujawapa uongozi wa juu zaidi?.
Somo kama hili pia nimewahi kulitoa hapa Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Bible itatusaidia. Bwana wetu Yesu Kristu aliwaonya wanafunzi wake kuwa "kutakuja kujitokeza manabii wa uongo ambao watafanya ishara zote ikiwemo kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wa kwangu."

Wanafunzi wake wakamuuliza tutawatambuaje manabii wa uongo? Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao na sio kwa maneno yao."

Vivyo hivyo, ili Tanzania tupate viongozi bora wa kitaifa in future, Watanzania lazima kwanza tujifunze elimu ya utambuzi, tuweze kuwatambua viongozi bora kwa matendo yao na sio kwa maneno yao. Ili Tanzania tupate viongozi bora wa kulitoa taifa letu hapa tulipo na kutupeleka kule tulipaswa kuwepo, ni lazima tupate viongozi bora ambao ubora wao ni wa asili, natural born leaders who are bonafide genuine and not made leaders.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na post ya mwana jf huyu;
Rais huyu wa Tanzania ametokea katika kundi (hama) kubwa la utawala wenye itikadi za kubagua wananchi wengine, wasio taka maridhiano, wenye wivu na nongwa na wengine wakatili kwa wenye itikadi tofauti.

Lakini yeye katikati yao amejitokeza na kuwa tofauti nao kabisa. Huku wenzake wakionyesha wazi kuwa hawafurahishwi na hizo tabia njema alizo nazo za kutaka maridhiano kama taifa na mabadiliko na bila kupepesa maneno kinachomsaidia kufanya haya ni nguvu ya mamlaka ya Urais tuu sio support ya wenzake kwenye chama maana hiyo hana.

Hivyo CCM wakae mkao wa kutulia afanye kazi yake kwa kushirikiana na wenye nia njema na taifa.
Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja yako partially only, sio kweli Rais Samia anayafanya haya kwasababu ya nguvu na mamlaka ya Urais wa JMT tuu, Samia anayatenda yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo, ni asili yake na nature yake na sio kwa sababu ya Urais.

Ili Tanzania tupate viongozi bora in future lazima kwanza tujifunze kuwa sport, kisha wawe groomed ndipo washike uongozi wa juu.

Samia was spotted, akawa groomed bila kuandaliwa kuwa Rais, kumbe ni Mungu alikuwa anamuandaa, Mungu alipoona ameiva anatosha ndipo akamuita kwake kiongozi aliyekuwepo na kumleta Samia.

Mimi kama a self made Psycho Analyst, ile 2014 niliposikia sikia tuu JPM anatajwa kuwa mgombea wa CCM wa 2015, nilitoa psychoanalysis yangu na humu nilisema yote kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hivyo hata sasa wakati wengine wote wako very optimistic na Samia kuendelea kuwa rais kipindi cha pili 2025-2030, mimi niko pessimists na nimeeleza humu pessimism yangu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Kiongozi mzuri utamjua for who s/he really is but not what one is. Kumaanisha tuwe tunaandaa viongozi wetu kwa kuwafanyia tathmini ya jinsi mtu alivyo, nature yake, yaani who s/he is really is and not what s/he is. Yaani assessment ya who na what. Who ni jinsi mtu alivyo na what ni huyo mtu ni nani.

Ukimuangalia Rais Samia na mambo makubwa mazuri anayoyafanya kuna watu wanadhani anayafanya haya kwasababu yeye ndiye rais wa JMT, yaani anafanya for what she is, rais wa JMT, kumbe Rais Samia anayafanya yote anayoyafanya sio kwasababu yeye ni Rais wa JMT, anayafanya yote anayoyafanya kwasababu hivyo ndivyo yeye alivyo.

Si wengi walikuwa wanamjua Samia for who she really is, kabla hajawa Rais wetu. Wengi wanamjua Samia not for who she really is but what she is now as a president of URT. Kwa sisi wengine tunayemjua who Samia is really is, hatushangazwi kabisa na haya yote anayoyafanya, maana hayajafika hata robo ya who she really is. Tumpe muda, Watanzania mtafurahi, nchi itafunguka, Itabarikiwa.

Kwa ambao hawakubahatika kumjua Samia for who she really is bali wanamjua just for what she is now, kama rais wa JMT, karibuni pande hizi umfahamu Samia kwa ndani, who she really is;
  • Anza na hapa, si wengi walimjua Samia kabla ya 2010, sisi tuliomjua tulitangaza humu ujio wake. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
  • Kabla hajawa VP, pia watu tulimspot anaweza kuwa somebody 2015 Wajue The Top Five Most Prominent Members wa Bunge Maalum la Katiba!.
  • Lilipokuja suala la possibility ya Tanzania kuja kupata rais Mwanamke kwa siku zijazo, jina la Samia ndilo lililoibuka number one. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
    1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
      Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
      Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
    Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

    Paskali.
  • Mwaka 2017 maoni haya yalichapishwa humu JF Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
  • Wanabodi,

    kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, utatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.

    She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

    Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

    Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

    Paskali
  • Mwaka 2020 maoni haya yakachapishwa humu JF "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
    ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

    Kwa hoja kama hizi za huyu mama Samia, kama age sio issue sana, si huyu mama atatufaa sana 2025 au tuwashauri kwa vile Magufuli analamika sana kuhusu urais, mara ni mateso, mara ni kazi ngumu, mara ni mzigo mzito, tumshauri rais Magufuli, kwa vile Samia anatosha sana, hivyo tumpunguzie mateso, hana haja ya kuendelea na mateso, mzigo mzito na kazi ngumu ya urais, na hata kama ni wale tausi au wanyama wa Magogoni, au yale majabali ya Chamwino, tutamjengea Chato na kumuomba bora apumzike tuu mapema, na kumpisha Mama Samia ndio amalizie ngwe yake iliyobakia?. Hili mnalionaje?.
  • Na Mungu alipomuita kwake JPM, tulitoa tathmini ya Tanzania ya Samia vs Tanzania ya Magufuli Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
  • Samia alipoingia tukaendelea kuwaelimisha wengine kumhusu Samia Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Hivyo haya ambayo Rais Samia anayafanya hayafanyi kwasababu ni rais wa JMT, no!, Rais Samia anayafanya yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo na sio kwasababu yeye ni rais wa JMT.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Wabariki wanawake wote Duniani, kwa siku yao hapo kesho.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
 
Ajabu kuna mijitu bado haielwi...Thamani ya Samia itakuja kuonekana zaidi akishamaliza mda wake...wapo watakao kumbuka hizi golden days Kwa machozi..
Sio bahati mbaya anaitwa "Suluhu"
 
Wanabodi,

Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"

Hii psychoanalysis ni nini na ya kazi gani?, tembelea hapa
Kwa vile mimi ni Mkristu, baadhi ya mafundisho yangu humu yatakuwa based on the Bible teachings.

Somo la leo ni jinsi ya kuwabaini na kuwatambua viongozi bora. Je tutawatambuaje viongozi bora kabla hatujawapa uongozi wa juu zaidi?.

Bible itatusaidia. Bwana wetu Yesu Kristu aliwaonya wanafunzi wake kuwa "kutakuja kujitokeza manabii wa uongo ambao watafanya ishara zote ikiwemo kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wa kwangu".

Wanafunzi wake wakamuuliza tutawatambuaje manabii wa uongo?. Bwana Yesu akawajibu, "mtawatambua kwa matendo yao na sio kwa maneno yao".

Vivyo hivyo, ili Tanzania tupate viongozi bora wa kitaifa in future, Watanzania lazima kwanza tujifunze elimu ya utambuzi, tuweze kuwatambua viongozi bora kwa matendo yao na sio tuu kwa maneno yao, ili Tanzania tuendelee kupata viongozi bora wa kulitoa taifa letu hapa tulipo na kutupeleka kule tulipaswa kuwepo.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na post ya mwana jf huyu

Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja yako partially only, sio kweli Rais Samia anayafanya haya kwasababu ya nguvu na mamlaka ya urais wa JMT tuu, Rais Samia hayafanyi haya kwa sababu ya urais wa JMT, Samia anayatenda yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo, ni asili yake na nature yake na sio kwa sababu ya urais.

Ili Tanzania tupate viongozi bora in future lazima kwanza tujifunze kuwa sport, kisha wawe groomed ndipo washike uongozi wa juu.

Samia was spotted, akawa groomed bila kuandaliwa kuwa rais, kumbe ni Mungu alikuwa anamuandaa, Mungu alipoona amewiva anatosha ndipo akamuita kwake kiongozi aliyekuwepo na kumleta Samia.

Mimi kama a self made Psycho Analyst, ile 2014 niliposikia sikia tuu JPM anatajwa kuwa mgombea wa CCM wa 2015, nilitoa psychoanalysis yangu na humu nilisema yote kumhusu JPM.

Kiongozi mzuri utamjua for who s/he really is but not what one is!. Kumaanisha tuwe tunaandaa viongozi wetu kwa kuwafanyia tathmini ya jinsi mtu alivyo, nature yake, yaani who s/he is really is and not what s/he is. Yaani assessment ya who na what. Who ni jinsi mtu alivyo na what ni huyo mtu ni nani.

Ukimuangalia Rais Samia na mambo makubwa mazuri anayoyafanya kuna watu wanadhani anayafanya haya kwasababu yeye ndiye rais wa JMT, yaani anafanya for what she is, rais wa JMT, kumbe Rais Samia anayafanya yote anayoyafanya sio kwasababu yeye ni rais wa JMT, anayafanya yote anayoyafanya kwasababu hivyo ndivyo yeye alivyo!.

Sii wengi walikuwa wanamjua Samia for who she really is, kabla hajawa rais wetu. Wengi wanamjua Samia not for who she really is but what she is now as a president of URT. Kwa sisi wengine tunayemjua who Samia is really is, hatushangazwi kabisa na haya yote anayoyafanya, maana hayajafika hata robo ya who she really is!. Tumpe muda, Watanzania mtafurahi, nchi itafunguka, Itabarikiwa!.

Kwa ambao hawakubahatika kumjua Samia for who she really is bali wanamjua just for what she is now, kama rais wa JMT, karibuni pande hizi umfahamu Samia kwa ndani, who she really is...
P
Maneno mengi, ionekane unajua. Anapata credit nyingi sababu anatibu vidonda alivyotuchubua dikteta uchwara. CCM haina jipya chini ya jua, na kwa jinsi wapiga kura wengi ni mbumbumbu wa kofia na pombe, waoga, (wapinzani njaa), nk nk nk, unategemea nini?
 
Ulivyoandika utadhani chizi asiye na akili 😀 kwa haraka haraka mtu akikuona anaweza kudhani una akili timamu, Kumbe chawa mmoja mjinga mjinga
 
Wanabodi,

Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"

Hii psychoanalysis ni nini na ya kazi gani?, tembelea hapa
Kwa vile mimi ni Mkristu, baadhi ya mafundisho yangu humu yatakuwa based on the Bible teachings.

Somo la leo ni jinsi ya kuwabaini na kuwatambua viongozi bora. Je tutawatambuaje viongozi bora kabla hatujawapa uongozi wa juu zaidi?.

Bible itatusaidia. Bwana wetu Yesu Kristu aliwaonya wanafunzi wake kuwa "kutakuja kujitokeza manabii wa uongo ambao watafanya ishara zote ikiwemo kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wa kwangu".

Wanafunzi wake wakamuuliza tutawatambuaje manabii wa uongo?. Bwana Yesu akawajibu, "mtawatambua kwa matendo yao na sio kwa maneno yao".

Vivyo hivyo, ili Tanzania tupate viongozi bora wa kitaifa in future, Watanzania lazima kwanza tujifunze elimu ya utambuzi, tuweze kuwatambua viongozi bora kwa matendo yao na sio tuu kwa maneno yao, ili Tanzania tuendelee kupata viongozi bora wa kulitoa taifa letu hapa tulipo na kutupeleka kule tulipaswa kuwepo.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na post ya mwana jf huyu

Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja yako partially only, sio kweli Rais Samia anayafanya haya kwasababu ya nguvu na mamlaka ya urais wa JMT tuu, Rais Samia hayafanyi haya kwa sababu ya urais wa JMT, Samia anayatenda yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo, ni asili yake na nature yake na sio kwa sababu ya urais.

Ili Tanzania tupate viongozi bora in future lazima kwanza tujifunze kuwa sport, kisha wawe groomed ndipo washike uongozi wa juu.

Samia was spotted, akawa groomed bila kuandaliwa kuwa rais, kumbe ni Mungu alikuwa anamuandaa, Mungu alipoona amewiva anatosha ndipo akamuita kwake kiongozi aliyekuwepo na kumleta Samia.

Mimi kama a self made Psycho Analyst, ile 2014 niliposikia sikia tuu JPM anatajwa kuwa mgombea wa CCM wa 2015, nilitoa psychoanalysis yangu na humu nilisema yote kumhusu JPM.

Kiongozi mzuri utamjua for who s/he really is but not what one is!. Kumaanisha tuwe tunaandaa viongozi wetu kwa kuwafanyia tathmini ya jinsi mtu alivyo, nature yake, yaani who s/he is really is and not what s/he is. Yaani assessment ya who na what. Who ni jinsi mtu alivyo na what ni huyo mtu ni nani.

Ukimuangalia Rais Samia na mambo makubwa mazuri anayoyafanya kuna watu wanadhani anayafanya haya kwasababu yeye ndiye rais wa JMT, yaani anafanya for what she is, rais wa JMT, kumbe Rais Samia anayafanya yote anayoyafanya sio kwasababu yeye ni rais wa JMT, anayafanya yote anayoyafanya kwasababu hivyo ndivyo yeye alivyo!.

Sii wengi walikuwa wanamjua Samia for who she really is, kabla hajawa rais wetu. Wengi wanamjua Samia not for who she really is but what she is now as a president of URT. Kwa sisi wengine tunayemjua who Samia is really is, hatushangazwi kabisa na haya yote anayoyafanya, maana hayajafika hata robo ya who she really is!. Tumpe muda, Watanzania mtafurahi, nchi itafunguka, Itabarikiwa!.

Kwa ambao hawakubahatika kumjua Samia for who she really is bali wanamjua just for what she is now, kama rais wa JMT, karibuni pande hizi umfahamu Samia kwa ndani, who she really is...
Hivyo haya ambayo Rais Samia anayafanya hayafanyi kwasababu ni rais wa JMT, no!, Rais Samia anayafanya yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo na sio kwasababu yeye ni rais wa JMT.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Wabariki wanawake wote Duniani, kwa siku yao hapo kesho.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
Kwa mara ya kwanza nimekuelewa, kumbe una akili siku nyingi sema kuna muda unajitia ujinga fulani. Ya a Great Thinker.
 
Ajabu kuna mijitu bado haielwi...Thamani ya Samia itakuja kuonekana zaidi akishamaliza mda wake...wapo watakao kumbuka hizi golden days Kwa machozi..
Sio bahati mbaya anaitwa "Suluhu"

Rais Samia kiukweli atawapita mbali marais wote waliowahi kuongoza nchi hii kwa mbali mambo atakayofanya. Na akimalizia na katiba naamini mageuzi makubwa yatapitia katiba hiyo, leo hii wapinzani wanapewa ulinzi wa polisi hadi wanapolala wanalindwa mambo mazuri hayo, na naamini Rais Samia ni zawadi japo yupo katikati ya akili za akina mwigulu lakini atatoboa tu
 
Wanabodi,

Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"

Hii psychoanalysis ni nini na ya kazi gani? tembelea hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... na kwa vile mimi ni Mkristu, baadhi ya mafundisho yangu humu yatakuwa based on the Bible teachings.

Somo la leo ni jinsi ya kuwabaini na kuwatambua viongozi bora. Je tutawatambuaje viongozi bora kabla hatujawapa uongozi wa juu zaidi?

Bible itatusaidia. Bwana wetu Yesu Kristu aliwaonya wanafunzi wake kuwa "kutakuja kujitokeza manabii wa uongo ambao watafanya ishara zote ikiwemo kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wa kwangu."

Wanafunzi wake wakamuuliza tutawatambuaje manabii wa uongo? Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao na sio kwa maneno yao."

Vivyo hivyo, ili Tanzania tupate viongozi bora wa kitaifa in future, Watanzania lazima kwanza tujifunze elimu ya utambuzi, tuweze kuwatambua viongozi bora kwa matendo yao na sio kwa maneno yao. Ili Tanzania tupate viongozi bora wa kulitoa taifa letu hapa tulipo na kutupeleka kule tulipaswa kuwepo, ni lazima tupate viongozi bora ambao ubora wao ni wa asili, natural born leaders who are bonafide genuine and not made leaders.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na post ya mwana jf huyu;

Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja yako partially only, sio kweli Rais Samia anayafanya haya kwasababu ya nguvu na mamlaka ya Urais wa JMT tuu, Samia anayatenda yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo, ni asili yake na nature yake na sio kwa sababu ya Urais.

Ili Tanzania tupate viongozi bora in future lazima kwanza tujifunze kuwa sport, kisha wawe groomed ndipo washike uongozi wa juu.

Samia was spotted, akawa groomed bila kuandaliwa kuwa Rais, kumbe ni Mungu alikuwa anamuandaa, Mungu alipoona ameiva anatosha ndipo akamuita kwake kiongozi aliyekuwepo na kumleta Samia.

Mimi kama a self made Psycho Analyst, ile 2014 niliposikia sikia tuu JPM anatajwa kuwa mgombea wa CCM wa 2015, nilitoa psychoanalysis yangu na humu nilisema yote kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hivyo hata sasa wakati wengine wote wako very optimistic na Samia kuendelea kuwa rais kipindi cha pili 2025-2030, mimi niko pessimists na nimeeleza humu pessimism yangu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Kiongozi mzuri utamjua for who s/he really is but not what one is. Kumaanisha tuwe tunaandaa viongozi wetu kwa kuwafanyia tathmini ya jinsi mtu alivyo, nature yake, yaani who s/he is really is and not what s/he is. Yaani assessment ya who na what. Who ni jinsi mtu alivyo na what ni huyo mtu ni nani.

Ukimuangalia Rais Samia na mambo makubwa mazuri anayoyafanya kuna watu wanadhani anayafanya haya kwasababu yeye ndiye rais wa JMT, yaani anafanya for what she is, rais wa JMT, kumbe Rais Samia anayafanya yote anayoyafanya sio kwasababu yeye ni Rais wa JMT, anayafanya yote anayoyafanya kwasababu hivyo ndivyo yeye alivyo.

Si wengi walikuwa wanamjua Samia for who she really is, kabla hajawa Rais wetu. Wengi wanamjua Samia not for who she really is but what she is now as a president of URT. Kwa sisi wengine tunayemjua who Samia is really is, hatushangazwi kabisa na haya yote anayoyafanya, maana hayajafika hata robo ya who she really is. Tumpe muda, Watanzania mtafurahi, nchi itafunguka, Itabarikiwa.

Kwa ambao hawakubahatika kumjua Samia for who she really is bali wanamjua just for what she is now, kama rais wa JMT, karibuni pande hizi umfahamu Samia kwa ndani, who she really is;
Hivyo haya ambayo Rais Samia anayafanya hayafanyi kwasababu ni rais wa JMT, no!, Rais Samia anayafanya yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo na sio kwasababu yeye ni rais wa JMT.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Wabariki wanawake wote Duniani, kwa siku yao hapo kesho.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Kiongozi mzuri utamjua for who s/he really is and not for what one is!. Kumaanisha tuwe tunaandaa viongozi wetu kwa kuwafanyia tathmini ya jinsi mtu alivyo, nature yake, yaani who s/he is really is and not what s/he is. Yaani assessment ya who na what. Who ni jinsi mtu alivyo na what ni huyo mtu ni nani.

Ukimuangalia Rais Samia na mambo makubwa mazuri anayoyafanya kuna watu wanadhani anayafanya haya kwasababu yeye ndiye rais wa JMT, yaani anafanya for what she is, rais wa JMT, kumbe Rais Samia anayafanya yote anayoyafanya sio kwasababu yeye ni Rais wa JMT, anayafanya yote anayoyafanya kwasababu hivyo ndivyo yeye alivyo!.

Si wengi walikuwa wanamjua Samia for who she really is, kabla hajawa Rais wetu. Wengi wanamjua Samia not for who she really is but for what she is now as a president of URT. Kwa sisi wengine tunaomjua Samia for who she really is, hatushangazwi kabisa na haya yote anayoyafanya, maana hayajafika hata robo ya who she is capable of. Tumpe muda, Watanzania mtafurahi wenyewe, nchi hii itafunguka like it has never been before!, Tanzania Itabarikiwa!.

Hivyo haya ambayo Rais Samia anayafanya hayafanyi kwasababu ni rais wa JMT, no!, Rais Samia anayafanya yote haya kwasababu hivi ndivyo alivyo na sio kwasababu yeye ni rais wa JMT.

Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.

YEYE Kuna kitu unakifahamu kuhusu YEYE ila ukwama kukisema Kwa sababu YEYE amekutahadharisha
 
Back
Top Bottom