IKULU wanapotumia lugha za kihuni

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
watoto wanaitwa VITOTO

sasa sijui huyu hapa ni Premi au Salva??

H@ki Ngowi


inamaana huko Ikulu hakuna anyejua Kiswahili au uhuni umewajaa hawa watu wa Mawasiliano?
 
ikulu ya miaka hii imejaa genge la wahuni sasa unategemea watajitenga na mambo ya kihuni??
 
Back
Top Bottom