Naona GT tayari ame-hit palipotakiwa, kupotosha hoja. Sasa hakuna kujadili hoja tena bali tunajadili maandiko na comments za GT.
Tiba
Tiba,
.......please.......vitu vingine kama huvielewi tuachie tunaomjua huyu jamaa .........please
Naona GT tayari ame-hit palipotakiwa, kupotosha hoja. Sasa hakuna kujadili hoja tena bali tunajadili maandiko na comments za GT.
Tiba
Kazi kweli tunayo mpaka huyu MNYARWANDA leo anakuwa na ubavu wa kutukosoa...kazi kweli kwelo...i wonder who will be next katika hilo kundi lao la ma INTERAHAMWE!
Kwa kuwa Jenerali jina lake ni TWAHA basi umeamua kutafuta unyarwanda na intrahamwe ili kuonyesha kuwa anayosema kuhusu ndugu yetu MRISHO ni chuki tu...
Kaka acha UDINI, fungu macho, kuwa objective
omarilyas
Kama akipatikana mtu ambae hajawahi kukamata kadi ya CCM huyo ndie atakuwa hakuwa na ubia na Mwalimu lakini hawa wengine wote wakiukwaa huo Urais wataendeleza yale yale MFANO, Familia ya Mbowe ni wale wale waliotoka kule kule CCM, Maalim Sharif wale wale alikuwa waziri kiongozi enzi zile zile za Mwalimu, Mrema yeye ndio funga kazi na kadi ya CCM bado anamiliki,sasa yupi ni bora kama wote hawa walikuwa watawala enzi za mwalimu kama sio wao wazazi wao, tufanye nini tusimpate mtu aliyekuwa mbia wa Mwalimu?Ili tuweze kuachana na uongozi mbovu ambao chanzo chake ni ubia wa Mwalimu inatubidi sasa tutizame elsewhere kutafuta uongozi mzuri ambao hautakuwa na uhusiao wa kiubia na Mwalimu.Tuachane na chama cha CCM cha ubia wa Mwalimu.
Kila siku najiuliza Nyerere angekuwa hai Rostam, Lowassa, Kingunge, Jeetu, Omar Mahita na wengine wangekuwa wapi. Sipati jibu, Lowassa at least ndiye anayeweza kujaribu kujibu swali hili. Lakini saa hizi haa watu wanpeta tu na ulinzi juu. Kweli kulia kunaonesha furaha na majonzi. machozi ya kifo cha mwalimu yalikuwa na yote mawili.
Yaani Kikwete mwenyewe aliona ana project independence na positive incorrigibility kumbe anachemsha.
Lazima tuwe humble.
Ili tuweze kuachana na uongozi mbovu ambao chanzo chake ni ubia wa Mwalimu inatubidi sasa tutizame elsewhere kutafuta uongozi mzuri ambao hautakuwa na uhusiao wa kiubia na Mwalimu.Tuachane na chama cha CCM cha ubia wa Mwalimu.
Bluray si kwamba anayoona tu no ndivyo anavyoact wala si utani. Kuna siku anahutubia Bunge akanukuu kwamba yeye ni rais anao uwezo wa kusema Dr. Slaa akamatwa aweke ndani na akawekwa ndani bila maswali. Sasa hii ni nini jamani? Issue hapa ni nini? Yaani kwake madaraka/udikiteta ni kwake muhimu kuliko kudeliver.
ndio Ni MNYARWANDA huyu kwani uwongo?
woga wenu ni nini kukubali kama huyu ni Mtusi na ni Mnyarwanda au basi tuu ?
the same applies to Salva naye si mtanzania
iko wapi ile thread ya Salva si Mtanzania?
- Mkuu Bongolander, heshima yako bros hivi kwa nini mnapenda kupindisha ukweli, yaani unataka kusema hawa viongozi uliowasema wana umri wa miaka 24? Is that so kwamba wamezaliwa baada ya Mwalimu kungátuka?
- Acheni hizi jamani, hawa walikuwa ni viongozi Mwalimu akiwepo na guess what walikuwa mafisadi pia na Mwalimu alikuwa akiwaita Ikulu kuwaonya badala ya kuwapeleka kwenye sheria, ili kutusaidia taifa la leo sasa matokeo ni kwamba wamekuwa mafisadi papa, sasa na wewe mtu makini badala ya kukubali ukweli kwamba hii ni moja ya mapungufu makubwa ya Mwalimu as a nation we are paying for, wewe unajaribu kupindisha ukweli ili tu Mwalimu awe malaika halafu you wonder kwa nini tumekwama na wanapewa ulinzi, Mungu alisaidie taifa hili siku moja liamke huu usingizi mzito sana mwe!
Respect and Out.
Kamanda FMEs.
Kazi kweli tunayo mpaka huyu MNYARWANDA leo anakuwa na ubavu wa kutukosoa...kazi kweli kwelo...i wonder who will be next katika hilo kundi lao la ma INTERAHAMWE!
Mkuu wangu kama maneno ya Ulimwengu yalikuwa na maana hiyo basi inaonyesha wazi Ulimwengu ana mashaka na hii kitu Demokrasia.. Kwa sababu hakuna rais duniani ambaye kaweza kupanda hadi darini kwa nguvu zake.Hata hao tunaowaita madikteta walikuwa na watu nyuma yao..Kihs basi waliyemchagua ni sisi wananchi hivo kuna Ubia kati ya wananchi na JK au wapambe wake?..Mi nilivyoelewa makala ya Ulimwengu ni kuwa ubia anaouzungumzia si ule uliowekwa kisheria. Kutokana na urais kuwa na nguvu sana ni vigumu sana vile vile kuwa mtu mmoja anaweza akapigana peke yake hadi kufikia huko kwenye urais. Matokeo yake ubia usiokuwa halali unajitokeza kwani haiwezekani kuifikia ngazi ile kwa nguvu yako mwenyewe. Huu ubia usiokuwa wazi ndo kitu anachokuzungumzia hasa Ulimwengu!