Ushauri: Rais Mteule wa Senegal BD Faye Asikubali kuwa Kivuli na Kuendeshwa na Sonko.Kuna Watu Lazima Waishie Kuwa Ngazi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,135
49,866
Rais Mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye Asikubali kamwe kuwa Rais kivuli na WA kupangiwa na Kuendeshwa na Bwana Ousmane Sonko ambae anajiona ndio amefanikisha Jamaa kuwa Rais.

Mara kadhaa nimekuwa naona wanaongozana lakini nadhani Kwa Sasa lazima heshima ichukue mkondo wake,Urais wa Nchi hauna Ubia Wala Urafiki vinginevyo atakuwa ni punguani wa mwisho.

Atakayekula kiapo ni yeye bwana Faye sio Sonko na kama atakuwa anashinikizwa ni Bora ampoteze mazima hata Kwa ugonjwa.Nasisitiza Urais hauna Ubia Wala ushkaji.

Rais Mteule Faye anaweza kuwa consult Kwa ushauri zaidi Rais wa Angola na Felix Tchisekedi wa DRC ambao walikataa huo ujinga wa Kabila na Dos Santos wakawageuka na maisha yanaenda Hadi Sasa.

View: https://youtu.be/M0XF45eyq8I?si=rOA0m3CnDmzG3gKH

My Take
Kuna watu hapa Duniani wamezaliwa wawe ngazi Kwa wengine na ndio stahiki Yao so usikubali ngazi iwe inakutishia,unaweza ivunja na Kuunda nyingine.

Pia anaweza mconsult Mzee wa Mikakati JK akampa maujanja ya kumtosa huyo Sonkho kama ataonekana hana heshima Kwa staili Ile Ile ya Mambo vs JK.

Urais hauna Ubia Wala Urafiki.
 
Hata mimi nimeona hilo suala Sonko anajiweka mbele sana kwa kila kitu Sonko anaweza kuhisi yeye ni Rais Mwenza na akifanya hilo atakosea sanaa amuache huyu jamaa aongoze kama sivyo wataanza kugombana sasaiv.Yanaweza kuja kutokea mauaji mana kutakua na hisia kwamba Sonko anajiona ndio kampa jamaa Urais na huyu anajua yeye ndio kachaguliwa na ana mamlaka.
 
Rais Mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye Asikubali kamwe kuwa Rais kivuli na WA kupangiwa na Kuendeshwa na Bwana Ousmane Sonko ambae anajiona ndio amefanikisha Jamaa kuwa Rais.

Mara kadhaa nimekuwa naona wanaongozana lakini nadhani Kwa Sasa lazima heshima ichukue mkondo wake,Urais wa Nchi hauna Ubia Wala Urafiki vinginevyo atakuwa ni punguani wa mwisho.

Atakayekula kiapo ni yeye bwana Faye sio Sonko na kama atakuwa anashinikizwa ni Bora ampoteze mazima hata Kwa ugonjwa.Nasisitiza Urais hauna Ubia Wala ushkaji.

Rais Mteule Faye anaweza kuwa consult Kwa ushauri zaidi Rais wa Angola na Felix Tchisekedi wa DRC ambao walikataa huo ujinga wa Kabila na Dos Santos wakawageuka na maisha yanaenda Hadi Sasa.

View: https://youtu.be/M0XF45eyq8I?si=rOA0m3CnDmzG3gKH

My Take
Kuna watu hapa Duniani wamezaliwa wawe ngazi Kwa wengine na ndio stahiki Yao so usikubali ngazi iwe inakutishia,unaweza ivunja na Kuunda nyingine.

Pia anaweza mconsult Mzee wa Mikakati JK akampa maujanja ya kumtosa huyo Sonkho kama ataonekana hana heshima Kwa staili Ile Ile ya Mambo vs JK.

Urais hauna Ubia Wala Urafiki.

Watu mnajifanya mnawajua Faye na Sonko.
 
Mimi naona ni vyema wakafanya kazi kwa pamoja kuliko kuanzisha migogoro na uroho wa madaraka na ule ujuaji .siyo wakati wa kutunishiana misuli au kusahau mlikotoka. Ni bora ifanye kazi na mtu unayemfahamu na ambaye mtaendana kuliko kuanza kuleta ubabe ubabe tu.hao wanafahamiana na wanajuwa nini wasenegal wanataka.kwa hiyo kikubwa ni kuwapa kile wasenegal wanataka kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi
 
Fahari 2 hawakai zizi moja
 
Rais Mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye Asikubali kamwe kuwa Rais kivuli na WA kupangiwa na Kuendeshwa na Bwana Ousmane Sonko ambae anajiona ndio amefanikisha Jamaa kuwa Rais.

Mara kadhaa nimekuwa naona wanaongozana lakini nadhani Kwa Sasa lazima heshima ichukue mkondo wake,Urais wa Nchi hauna Ubia Wala Urafiki vinginevyo atakuwa ni punguani wa mwisho.

Atakayekula kiapo ni yeye bwana Faye sio Sonko na kama atakuwa anashinikizwa ni Bora ampoteze mazima hata Kwa ugonjwa.Nasisitiza Urais hauna Ubia Wala ushkaji.

Rais Mteule Faye anaweza kuwa consult Kwa ushauri zaidi Rais wa Angola na Felix Tchisekedi wa DRC ambao walikataa huo ujinga wa Kabila na Dos Santos wakawageuka na maisha yanaenda Hadi Sasa.

View: https://youtu.be/M0XF45eyq8I?si=rOA0m3CnDmzG3gKH

My Take
Kuna watu hapa Duniani wamezaliwa wawe ngazi Kwa wengine na ndio stahiki Yao so usikubali ngazi iwe inakutishia,unaweza ivunja na Kuunda nyingine.

Pia anaweza mconsult Mzee wa Mikakati JK akampa maujanja ya kumtosa huyo Sonkho kama ataonekana hana heshima Kwa staili Ile Ile ya Mambo vs JK.

Urais hauna Ubia Wala Urafiki.

Huko CCM kuua ni kawaida sana kwa marais kiasi kwamba mnaonq kokote duniani rais anaweza kuuwa tu bila shida!!
 
Back
Top Bottom