Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
- Thread starter
- #21
Ibrah,
Hii habari yako inaonekana wazi kuwa sio ya kweli maana
- Haitaji jina la mhusika yeyote ingawa imeshaelezwa kuwa walionekana mahakamani.
- Either umeitunga kutokana na yale tunayoyafahamu juu ya mafisadi au umedanganywa maana kila kilichoandikwa ni cha kufikirika, including majina.
- Inaelekea aliyeitunga hii habari nia yake ilikuwa ni hilo hitimisho la kuwa CCM wana njama za kutumia ufisadi kuwafaa wao wenyewe kama ulivyoandika otherwise utueleze zaidi conclussion ilivyofikiwa;
Kama wahusika walikuwa wameshafikishwa mahakamani kama ulivyosema, ina maana hakuna aliyewaona huko mahakamani mpaka ikawa siri hadi leo? Ina maana hata huyo aliyekupa hizo 'nyeti' na yeye pia kayafanya hayo majina yao kuwa ni siri? Nanukuu ulivyoripoti hapa chini;
Ingawa tungependa hawa mabwana wafikishwe mbele ya kaisari, lakini nafikiri hilo halijafanyika kama ilivyosimuliwa, ila hii ni nyepesi ilitungwa kwa sababu anazojua mtungaji na haifai kuendelea kukaa katika jukwaa la siasa.
Mod hii ipelekwe kwenye nyepesi.
Hizo habari chanzo chake siwezi kukitaja hapa ingawa ungependa nitaje lakini iko siku habari hii itatoka live kwenye vyombo vingine vya habari. Si unajua Mafisadi ndo madai yao hayo (Remember Mwanahalisi kuambiwa watoe chanzo cha habari ili wapate sababu ya kuwasulubu watu? Hata madai ya EPA Spika si alitishia kumpeleka Polisi Dk. Slaa ili awakilishe huo ushahidi kwenye ofisi yake? LAkini mwisho wa siku ilikuwaje, si ilibainika kuwa ni kweli hata bila Dk Slaa kupeleka ushahidi Bungeni na badala yake akaendeleza libeneke Mwembeyanga Tandika?