Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Itakuaje kama herufi ya jina langu ipo kwenye nyota tofauti na ile ya tarehe ya kuzaliwa kwangu?
Jambo jingine la kukanganya katika hizi nyota ni pale ninapoona herufu ya jina la mtu ikiwepo kwenye zaidi ya nyota moja.
Sasa mtu kama huyo atachukua nyota ipi
 
Well, hizi nilieandika kwa utofauti kwa maana baadhi ya member walianza kucopy na kuelezea sehemu na kuiba makala, hivyo katika kuchanganya herufi ikabidi niweke tofauti
 
Mkuu hapa sijakupata unachomaanisha labda ungenisaidia kwa kuongeza maelezo zaidi ya ufafanuzi
 
Herufi hizi nilitofautisha ili mwenye uhitaji kweli na anayetaka kuchimba zaidi aweze kunitafuta kwa maana kuna hekima na hizi elimu vile vile herufi za mwanzo za jina hazina uzito sana wa kujua nyota ya mtu isipokuwa huwa zinatupa picha huyo mtu ni wa aina gani na anamitizamo gani

Rakims
 
MKUU MSAADA WAKO; kwa mfano mimi nyota yangu ikawa ni MBUZI. Alafu ninayetaka kumuoa ana nyota ya NDOO hili limekaaje kimahusiano na kiuchumi??
 
Sasa mkuu mbona Herufi za majina zipo Katika nyota zaidi ya moja.hapo kuna vijana wa miaka ya 90 hawajui tarehe zao za kuzaliwa lakini andiko lako linasema unaweza ijua nyota kupitia herufi ya mwanzo na hizo herufi zipo Katika nyota zaidi ya moja hapo sasa huoni kama unamchanganya
 
KWA MFANO: waliozaliwa January 15 unaposema namba yao ya bahati ni 8. hiyo 8 namba ya bahati una maanisha nini?
Namba inayotumika lopote panapohitajika namba mfano namba ya mwisho ya siku, nyumba namba, guest au lodge room number, keno number,bingo number, saa number etc.
 
Sasa mkuu mbona Herufi za majina zipo Katika nyota zaidi ya moja.hapo kuna vijana wa miaka ya 90 hawajui tarehe zao za kuzaliwa lakini andiko lako linasema unaweza ijua nyota kupitia herufi ya mwanzo na hizo herufi zipo Katika nyota zaidi ya moja hapo sasa huoni kama unamchanganya
Hizi herufi nilivuruga baada ya watu kuleta vurugu.
 
Rakisms ni muongo sana naona akidanganya watu, Hizi nyota kinachoangaliwa ni tarehe na mwezi wa kuzaliwa sio herufi ya mwanzo wa jina lako, Na kinachonishangaza ni kwanini haya Mambo ya nyota yana ukweli mwingi hasa kwenye tabia!!!! Haya ya kinyota yanaendana na matendo ya wanadamu
 
Noted mkuu.
Tupo pamoja next time andika wewe ukweli
 
Mkuu Rakims katika makundi hayo yote ya nyota je ni nyota gani ina nguvu kuliko zote hizo?? Au ina tawala zingne zote hapo??

Ntashukuru sana kama ukinijibu.
 
Kwa fano mm nimezaliwa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja mwaka 1996. Nyota yangu itakuwa ni ipi?
 
Mkuu Rakims katika makundi hayo yote ya nyota je ni nyota gani ina nguvu kuliko zote hizo?? Au ina tawala zingne zote hapo??

Ntashukuru sana kama ukinijibu.
Kila moja ina nguvu zaidi kuliko zingine hiyo ni kutegemea na nguvu ya namna gani unayozungumzia...

Mfano utawala ni Simba
Pesa ni Ng'ombe
Vita ni Punda

N.k

Rakims
 
Back
Top Bottom