IGP Mwema atangaza DEATH PENALTY

Woooow! Sasa nimegundua , it is so simpo. Nakumbuka ilipotangazwa kuwauwa majambazi hapo ndio ZOMBE alipojichukulia faida, akawa anawauwa tu na kuchukua fedha.

Sasa hii mpya itafanya kazi hivi:

Mimi namchukia X, ninacheza dili na polisi wanamvamia sehemu na kumkamata, wakifika kwenye kituo kidogo (kisicho na polisi wengi ambako ndani kuna vibaka kadhaa) wanamtwanga risasi! Kosa?

Alienda kuvamia kituo wenzake wamekimbia!

I love viongozi wetu jinsi wanavyochukulia mambo bila kujali consequences zake. Hatukujifunza tu kwa ZOMBE?!
 
Sasa asishangae hata hao watuhumiwa anaozungumzia wasifike vituoni, hili la Singida kwa kweli kwa mwenye utu kama wakiuungwana bora Mwema asingelizungumzia sana wale watoto walichofanyiwa kinatisha, zoezi lile la kuwaua wale watoto ukiliingiza katika kichwa chako ukatafakari lilivyotekelezwa na hao akina Mile hawa watu hawakustahili kuishi, huyu aliyebaki atumike tu kutaja mtandao wake wa vitendo hivyo ikiwezekana aozee jela kama si kum-milenize na yeye. Nawapa Big up wana Singida
 
Niliogopa sana kumsikia huyu Mwema akitangaza mabaya. Hii ni hatari, unasimama unatangaza kupiga watu risasi za moto. TUNAELEKEA WAPI?

Yalipotokea mauaji ya Wakenya ambayo yalionyesha pia kupata baraka na Waziri husika, nilianza kupatwa na mashaka kama tatizo lilikuwa kwa waliouawa au waliouwa sasa naona the later ndio tatizo kwani wameonyesha bado wana hamu ya kuua and this time there are no Kenyans!!!!
 
mazingira yatahukumu, na sio utashi pekee mkjj, walivamiwa kituo wakamtoa mtuhumiwa na kisha kumuua sasa mazingira haya yaachwe yameee eeeh?

hata siku moja serikali na vyombo vya usalama kwa hapa hamna budi kukemea

wakikaa kimya si wataambiwa serikali haifanyi kazi, saasa wakifanya kazi watu wanaona kila kitu kibaya ! wow, how great !
 
mtu kawaambia ukweli mnasema kawatishia. Itawezekana vipi raia wachukue sheria mikononi kwenda kituo cha polisi na kumkwapua mtuhumiwa na kumuua kana kwamba Tanzania haina sheria? Je siku mmoja na ukichaa wa baadhi ya watu wakiamua kuingia ofisi ya Wizara au hata Ikulu na kumfanyizia "mbaya" wao si tutapiga kelele sana.

serikali hii haina jema bana kwa mitazamo ya wengi ! sheria zipo zikiwa enforce "pale tunapojaribu" watu wanabeza, zisipokuwa enforced watu wanapiga kelele, aaaah kumbe nilisahau sie waswahili, so hiyo kawaida yetu !
 
Hivi waungwana mnataka watu waanze kuvamia vituo vya polisi na kuchoma watu moto?

Lazima utawala wa sheria ulindwe kwa nguvu zote na hiyo ipo kila sehemu hapa duniani.

Hata kama polisi wameshindwa kazi yao lakini hata siku moja siwezi kutetea raia kujichukulia madaraka mikononi mwao. Madhara
ya hatua kama hiyo yanaweza kuwa makubwa mno.

Niliwahi kushuhudia sehemu, vijana wakamkamata jamaa na kuanza kupiga kelele za mwizi, watu wakaja na kumponda mawe mpaka kufa, kumbe jamaa alifumaniwa tu na mke wa mtu.

Tunapotetea utawala bora basi ni kwa kila mtu kuanzia raia mpaka rais wetu

watu wanaponda everything possible, everything they can ili kuonekana nao wamo ! lakini ipo siku nao itafika zamu zao ! serikali ikijitahidi wao wanaona mzaha, ikikaa kimya oooh serikali haifanyi kazi, yaani tabu tupu !
 
Nadhani IGP mwema ametumia sentensi zisizo sahihi katika kufikisha ujumbe. Kusema kwamba watauwa sio jambo la maana at this point. However, police kokote dunia wana haki ya kujilinda this include uses of guns if necessary.

Kwa nchi za dunia ya tatu ambako police wengi wanafrustrations za maisha, kuwaambia kwamba wanaweza kuuwa ni kuongeza chumvi kwenye kidonda, kwani yanaweza lipuka mauwaji ya kishenzi shenzi na kiteteo kikubwa kikawa vipengele alivyo vitaja IGP.
 
Sure Mzee,
IGP anachosema, askari wake waanze kulenga vichwa na siyo miguu?
Lengo la Polisi kama wanausalama haipaswi kuwa kuua at first instance.
Ndo yale ya kumpiga risasi ya kichwa mtu aliyenyoosha mikono juu, kutakuwa na justification ya IGP hapa?
 
Kada mpinzani. usigeuze JF kuwa uwanja wa mazuzu. Hizo sheria unazosema zinafanya kazi mbona hazijamgusa Ditopile??? Na kuna ushahidi wa kutosha kabisa kuwa Ditto alishiriki katika mauwaji ya marehemu Mbonde.

Wanataka tujue kuwa kuna sheria za aina mbili, za watu wa kawaida na wale wanaojiona siyo wa kawaida (watawala).

We ushawahi kusikia mtuhumiwa mwingine anayepitia mlango wa
ma-Judge na siyo mlango wa watuhumiwa?
Ndo Tanzania hiyo.

By the way polisi walianzisha ulinzi shirikishi, ndo maana wananchi wameamua kushiriki kwenye ulinzi? Kama wenzao walivyowafanya wakenya, wakaamua na wao wafanye hivyohivo kwa Mbakaji!
 
sasa wewe unachanganya madawa, sheria hii ilikuwa prior to ditopile kuua kwa makusudi or before ? yah ditopile yanafahamika, kwamba kaua kwa makusudi and fu*k him i will never kutetea wauaji !
 
Wanataka tujue kuwa kuna sheria za aina mbili, za watu wa kawaida na wale wanaojiona siyo wa kawaida (watawala).

We ushawahi kusikia mtuhumiwa mwingine anayepitia mlango wa
ma-Judge na siyo mlango wa watuhumiwa?
Ndo Tanzania hiyo.

By the way polisi walianzisha ulinzi shirikishi, ndo maana wananchi wameamua kushiriki kwenye ulinzi? Kama wenzao walivyowafanya wakenya, wakaamua na wao wafanye hivyohivo kwa Mbakaji!

this is your take !
 
Yaani yuko tayari kuua watu kadhaa kwa ajili ya kutetea uhai wa mtuhumiwa mmoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom