IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

huyo simfahamu au simkumbuki.

lakini kama sikosei wakati Mahita akiwa IGP kuna somebody jina lake Mwansasu alikuwa na cheo kama sikose cha kamishna ambacho ni cheo cha juu sana kwa askari.
Ndio huyo huyo!
 
basi ni hatari. Sasa ma-koplo wastaafu watakuwa wana maisha gani! Sometimes ni madhambi yao.

Abdallah Zombe sijui yuko katika hali gani hivi sasa.
Zombe nilisikia kajificha huko mtoni kwa Aziz Ali!
 
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!

Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.

Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Fainali uzeeni wahenga walisema
 
Ni hivi uwe muislam uwe...uwe mkristo uwe jambazi uwe rais uwe muuwaji uwe mla rushwa uwe padre uwe shoga uwe mwema uwe na roho mbaya uwe na roho nzuri

Ni hivi kifo na uzee huwezi epuka ....kidogo uzee ukifa mapema unaepuka .

So msijafanye kama uzee ni laaana hatana ni human nature biologically tunazeeka hii haitaji kuwa ulikuwa polisi au mwanajeshi

Hata wew mwandishi uliyeandika upuuzi huo utazeeka labda uwe mapema ....pambafu
Sasa hasira za nini mbona muandishi kaandika vizuri tu au hukusoma alichoandika?? Amesea kweli nguvu ni kitu cha kupita ... Mahita alijifanya shababe,hukuona tofauti alipokuja Saidi Mwema?? Haliyake ni fundisho kwetu, kujifanya sijui dini NK yote umeyatoa wapi??? Kibri sio kizuri tuwe humble...wapo wengi hata mzee Makamba alikuwa na kibri pia.
 
Kuna mmoja alijiitaga Komandoo, Salmon Amour .
Anateseka huyo ni kipofu Kwa sasa
Kufa hafi ila ni mateso tu anapitia
 
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!

Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.

Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Umesahau sifa moja, ndiye IGP ambaye kipindi chake kulikuwa na ujambazi mwingi
 
Mzee wako sio SI unit ya wazee, wala Mahita sio SI unit ya waliokataa watoto.
Unamaanisha wanaozaliwa wakiwa walemavu kutembea hawawezi nao walilaaniwa si ndio. Walilaaniwa lini na kwa kufanya nini.

Unalijua umbo la Omary Mahita enzi zake anastaafu, unalinganisha na umbo la Mwinyi wakati anakuwa Rais aged 60 yrs old? Linganisha ndio utajua genes na lifestyle ndio vinahusika.

Kama unatarajia Peter Msechu atakuwa na uzee sawasawa na Ali Kiba una matatizo kichwani.
Naona mtaalam wa silaha na mavifaru unampa mtu elimu kidogo 😄

Ova
 
Maaskari wengi hata wa vyeo vya juu wakistaafu huwa inakuwa tabu tupu.

Kuna mmoja ni mstaafu wa cheo cha SACP nilimuona kwenye social media akitoa mafunzo. Hivi sasa anaishi kijijini.
Mwingine kajinunulia jeneza na kujichimbia kaburi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom