omary

Omary Ahmad Badwel (born 5 March 1969) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bahi constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri! Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake. Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  2. Nyanswe Nsame

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  3. Suley2019

    KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  4. Kinoamiguu

    Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  5. Balqior

    Swali kwa wacheza draft: Hivi Omary John (oj) ni copy gani na kwanini inachezwa?

    Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
  6. Magwangala

    Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

    Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition? Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
  7. 6 Pack

    Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  8. BigTall

    Dar: Omary, Juma, Amos, Mokolo wakamatwa kwa wizi wa nyaya za TANESCO

    Jeshi la Polisi limewakamata watu wanne (4) kwa tuhuma za kujaribu kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanesco ikiwemo Nyaya aina ya Copper kwa lengo la kuziuza. Watuhumiwa hao; ni OMARY ALLY, miaka 28, Mkazi wa Tegeta na mwenzake JUMA SULLEIMAN, Miaka 30, Mrangi, mkazi wa Wazo na wanunuzi...
  9. Ileje

    Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

    Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
  10. Said Stuard Shily

    Uchaguzi 2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
  11. B

    Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya jina Omary na umahiri katika kazi ya Ualimu

    Katika shule zote ambazo nimesoma, mwalimu Bora na mahiri kuliko wote his/her name will always be TEACHER OMARY. HER? Kivipi? Her surname is Omary au anatumia jina la mume wake ambae anaitwa OMARY. Akina OMARY huwa ni waalimu wazuri Sana. Is it only me au na wewe umewahi kukutana na...
  12. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
Back
Top Bottom