zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.