If You Were The Opposite Sex For A Day, What Would You Do?

Mh hii isitokee jamani, kama ikitokea basi niwe BIKIRA MARIA hahahaha
We usiombee uwe Bikira Maria.Unaweza wewe kustahimili uchungu alioupata wakati mwanawe anasulubiwa?.Au pale alipopata mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu alitaka kuachwa na Yosefu na kwa sheria za kiyahudi angepigwa mawe mpaka kufa wewe ungeiweza hiyo pressure?
Shukuru Mungu umezaliwa ukajikuta ni chimunguru.
 
Mimi ningeomba hiyo siku iishe haraka nirudi kuwa mwanamke.
Acha masihara, mi navyokujua ungeshangilia kinoma afu ungeanza mbio za kunizengea mi na wapwa zangu. Lol! Kweli Mungu apitishe mbali.
 
Yes Carmel, the same to me and Iam proud to be woman and i real thank God for this.

Tena we ndio usiseme kabisa. Unatamani itokee hivyo ili utuzengee mimi na wapwa zangu. Lol! Eee Mungu, pitishia mbali hili zahma.
 
Kwa lipi?

Kwamba akili zangu zinanitosha mwenyewe? Yule mshosti anayelala ubavuni mwangu kama si akili zangu unafikiri ingekuwaje? Unafikiri kale kabinti tulikokapata si akili na maarifa yangu?
 
hata hili nalo wanatafakari? ila mpwa nahisi ungekuwa bonge la kicheche, siku moja hiyo ungehakikisha unagongwa na kila papaa hapa town.

Hahaha! Mpwa usisahau na wewe ungekuwa mshori. Mapapaa wangekuwa kina Carmel, FL1, JS, MJ1, Ziondaughter nk. Kwa jinsi walivyo na hasira na sisi, wapwa wote tungekuwa na vimimba. Hahahaha! Lol! eee Mungu pitisha mbali hii zahma. Mods please futa hii thread, Mungu hachelewi kuipenda afu ikawa balaa.
 
kwi! kwi! kwi! wakuu leo mmenichekesha sana.
 
Tena we ndio usiseme kabisa. Unatamani itokee hivyo ili utuzengee mimi na wapwa zangu. Lol! Eee Mungu, pitishia mbali hili zahma.

Thubutu! si mnasema wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika!mie hayo siyawezi.Na kwani wewe unafikiri kuzengea mabinti sio kazi?,halafu wewe washakutolea nje mara ngapi? Na ukikutana na EXTREMIST kama mimi ndo utakoma kuringa!
 
HA HA HA! Mkubwa nimecheka sana,

Mkuu usicheke. Balaa hilo. Hivi unadhani hata wewe ungepindua? Kina FL1 wasingekuacha hivihivi. Wana hasira mbaya. Mungu Nakuomba usitupe majaribu hayo. Mods please futa hii thread. Haichelewi kuwa kweli ukatokea msala.
 
I enjoy reading this than long stressed political articles....
 
Back
Top Bottom