If You Were The Opposite Sex For A Day, What Would You Do?

Thubutu! si mnasema wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika!mie hayo siyawezi.Na kwani wewe unafikiri kuzengea mabinti sio kazi?,halafu wewe washakutolea nje mara ngapi? Na ukikutana na EXTREMIST kama mimi ndo utakoma kuringa!

Potelea mbali. Acha nikutane na EXTREMIST mia moja kuliko kuwa demu japo kwa nusu saa. Lol!
 
Hahaha! Mpwa usisahau na wewe ungekuwa mshori. Mapapaa wangekuwa kina Carmel, FL1, JS, MJ1, Ziondaughter nk. Kwa jinsi walivyo na hasira na sisi, wapwa wote tungekuwa na vimimba. Hahahaha! Lol! eee Mungu pitisha mbali hii zahma. Mods please futa hii thread, Mungu hachelewi kuipenda afu ikawa balaa.

Sipendi kuwa mwanaume ,lakini kama ndo ingetokea sie hatuna mpango wa ufataki,ila Dunia hii ingekuwa haina ukimwi-kwa sasa ndo mnaongoza wanaume kwa kuvunja maadili hasa walioko kwenye ndoa.Tena hapa Tanzania kungekuwa hakuna Ufisadi-waliotuhumiwa kwa ufisadi wengi ni wanaume.Sijui unanipata vizuri?
 
I enjoy reading this than long stressed political articles....
Uwe unainjoi na kugonga tu thanks basi mpwa. Si unaona tumepokonywa tu thanks twetu? Hahahah. Ila aliyeanzisha hii thread leo kaniweza, manake naimagine mpwa nguli umetinga gauni unakatiza mitaa ya kati posta na kamimba. Lol! Balaa zaidi, mgongoni uwe umetundika katoto kengine. Hahahaha!
 
duh! hii ngumu....ila ningetamani wakati huo huo mume wangu ageuke mwanamke, nipate kuona wanaume wanafaidi nini kwa wake zao?
 
Sipendi kuwa mwanaume ,lakini kama ndo ingetokea sie hatuna mpango wa ufataki,ila Dunia hii ingekuwa haina ukimwi-kwa sasa ndo mnaongoza wanaume kwa kuvunja maadili hasa walioko kwenye ndoa.Tena hapa Tanzania kungekuwa hakuna Ufisadi-waliotuhumiwa kwa ufisadi wengi ni wanaume.Sijui unanipata vizuri?

Wewe ndio sina imani na wewe kabisa, afadhali kina Carmel, JS ,MJ1 na FL1. Bakia hivyohivyo mwanamke. Hatutaki balaa lako. Lol! Mtoto unazuga wewe? Sidanganyiki!
 
Ahsante kwa kujitambulisha kuwa wewe ni She. Tulikuwa hatujuagi. Hahaha!
 
kisha crispin imeelekea wewe ungekuwa mwanamke, ungekuwa mama huruma! .....manake kaa nakuona haipiti siku usipate hivi!
 
Acha masihara, mi navyokujua ungeshangilia kinoma afu ungeanza mbio za kunizengea mi na wapwa zangu. Lol! Kweli Mungu apitishe mbali.
hahahha haaaa, we mi hata sipendi kuwa mwanaume, maana kama mwanaume ni kuwa mvivu, kutupa nguo chini ukivua, kutaka kila kitu ufanyiwe kama mgonjwa, no way, i better remain a woman.
 
imagine carmel kisura chako kizuriii mwenyewe ....ati uamke ukutane na sura ya kiume! nitapigana aisee
 
Sipendi kuwa mwanaume ,lakini kama ndo ingetokea sie hatuna mpango wa ufataki,ila Dunia hii ingekuwa haina ukimwi-kwa sasa ndo mnaongoza wanaume kwa kuvunja maadili hasa walioko kwenye ndoa.Tena hapa Tanzania kungekuwa hakuna Ufisadi-waliotuhumiwa kwa ufisadi wengi ni wanaume.Sijui unanipata vizuri?
Kwani thread inasemaje? sio unapata muhogo na kubaki na akili zako shostito, unakuwa na mamisuli na akili za kiume pia. vivyo hivyo na midume inakuwa na nonino na akili za kike................kama wakina Crispinito ndo wangekuwa vicheche vya co**r B*r sinza.
 
kisha crispin imeelekea wewe ungekuwa mwanamke, ungekuwa mama huruma! .....manake kaa nakuona haipiti siku usipate hivi!

Usisahau ningekuwa mama huruma kwako. Nikiwa demu manake wewe unakuwa dume. Ndio maana namwomba Mungu achukulie hii thread kama utani tu. Asije akaifanyia kazi ikawa balaa.
 
hahahha haaaa, we mi hata sipendi kuwa mwanaume, maana kama mwanaume ni kuwa mvivu, kutupa nguo chini ukivua, kutaka kila kitu ufanyiwe kama mgonjwa, no way, i better remain a woman.
so u better remain a woman so that you can pick clothes after your man sio. thats good gal, sweet.
 
Hahaha! Mpwa usisahau na wewe ungekuwa mshori. Mapapaa wangekuwa kina Carmel, FL1, JS, MJ1, Ziondaughter nk. Kwa jinsi walivyo na hasira na sisi, wapwa wote tungekuwa na vimimba. Hahahaha! Lol! eee Mungu pitisha mbali hii zahma. Mods please futa hii thread, Mungu hachelewi kuipenda afu ikawa balaa.
yani we chriss utulivu ni zero kabsaaa. nimecheka sana jamani du.
 
Kwani thread inasemaje? sio unapata muhogo na kubaki na akili zako shostito, unakuwa na mamisuli na akili za kiume pia. vivyo hivyo na midume inakuwa na nonino na akili za kike................kama wakina Crispinito ndo wangekuwa vicheche vya co**r B*r sinza.

Natamani nijue kama wewe ni he au she! Lol! Aliyeanzisha hii thread asithubutu kukutana na mimi uso kwa uso. Ameniharibia siku yangu. Sichelewi kuota ndoto mbaya leo usiku.
 
kumbe crispin unaogopa eee! ...
lakini hii kitu ngumu, hasa kwa sababu sijawahi kufiri ningependelea kuwa mwanamme, labda mwa wengine waliochoshwa na kuwa wanawake wanaweza kuja na insight nzuri zaidi
 
Usisahau ningekuwa mama huruma kwako. Nikiwa demu manake wewe unakuwa dume. Ndio maana namwomba Mungu achukulie hii thread kama utani tu. Asije akaifanyia kazi ikawa balaa.

krisipini mungu atakugeuza wa kwanza
 
Wewe ndio sina imani na wewe kabisa, afadhali kina Carmel, JS ,MJ1 na FL1. Bakia hivyohivyo mwanamke. Hatutaki balaa lako. Lol! Mtoto unazuga wewe? Sidanganyiki!
Sawa bwana,sema kwa vile hunijui tu,ngoja siku nitokezee viwabja vya Tegeta na kawe ndo utajua mimi ni mtakatifu ZD.
 
yani we chriss utulivu ni zero kabsaaa. nimecheka sana jamani du.

Unacheka sana afu unasahau hako ka button ka thanks. Hahaha! Mtoa mada leo kaniweza. Sipati picha na huu msura wangu ndio nimegeuka kuwa demu. Nna uhakika ntakufa na bikira yangu. Nani angenitongoza?
 
kumbe crispin unaogopa eee! ...
lakini hii kitu ngumu, hasa kwa sababu sijawahi kufiri ningependelea kuwa mwanamme, labda mwa wengine waliochoshwa na kuwa wanawake wanaweza kuja na insight nzuri zaidi

Wote mmechoka kuwa wanawake. Mnazuga tu.
 
Back
Top Bottom